![]()
kama ukijikuta unatazamwa kwa jicho la namna hii, MAJANGA.....
huyu binti mtamu jamani...kha!!!![]()
kama ukijikuta unatazamwa kwa jicho la namna hii, MAJANGA.....
sasa unanilia surual za nini? Wachana nazohiyo namba moja mi naona ina apply kwa wote...me na ke. Frankly speaking nimeshakwaza na nimeshakwazika sana kuhusu hilo.
Huko kwingine huwa naishiaga kulia tuuu nikilia nikinyamaza hasira zangu zimeisha...kujibishana kugombana kumshika kiuno akuu...ukiniudhi i wont argue sana sana nitajifungia chumbani nikutafakariii na automatically machozi hunitoka...baada ya hapo life goes on
sasa ni juu yako kujisachi na kujiuliza na kujipanga how are you going to handle me coz silence kills u know
![]()
Wakati mwingine kushikiwa kiuno kwa mtindo huu (posture) hakuashirii jambo jema.....
![]()
kama ukijikuta unatazamwa kwa jicho la namna hii, MAJANGA.....
Hapo Mkuu sikubaliani nawe kabisa, nahisi " Kama jicho la huruma "