Mwanamke anapotoa kauli hizi, JIHADHARI....!

Mwanamke anapotoa kauli hizi, JIHADHARI....!

Mkuu ahsante kwa utafiti huu. Unajua Mtambuzi bila wanawake huu ulimwengu ni vigumu sana kuishi, Maana kama kuna shughuli yoyote wanawake ni wa kwanza. Kwa maana hiyo haiwezi kupita siku bila kuzungumzia mwanamke na kwa kweli hizo ndizo tabia zao, kwa hiyo lazima tuishi nao kwa tahadhari kubwa ili maisha yaende sawa
kama vipi achaneni na sisi kabisa
 
Prince Charles majuzi katoka kumuangalia mjukuu wake, nje ya hospitali kakuta kunfi la "royal watchers", kawaambia mtoto atatolewa nje "in a minute".

Watu wamesubiri takriban nusu saa ndo wakamuona mtoto.

Last time I checked Prince Charles mwanamme.
unasubiria watoto wa watu watolewe wewe wa kwako unamtoa lini?
 
mie hapo tu nimemaliza mchezo litakalofata mda ujao utajutaaaaaaa
ni bora awe mpole tu ila akijitia nlikuwa nakupima nakuona ndo kwanza kauchochea moto wa kifuuuuu
mzima mamito?
kuna hizi ZINGINE
1.haina shida,its okey!
2.nimeshazoea,wala sio ajabu
3.hakuna jipya
4.tusilaumiane
5.nashukuru
 
teh teh teh.... am so happ when i read ths message.. it is almost right in every word you hav just xplained. We are 2gethr.
 
kama no moja haupo basi una bahati...mimi zaidi ya kuchelewesha watu huwa najichelewesha mwenyewe.....

HApo ndo nakupendaga Smile kwa tabasamu lako la ukweli na kweli.


Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
86546414-378x414.jpg


Wakati mwingine kushikiwa kiuno kwa mtindo huu (posture) hakuashirii jambo jema.....

Hapa ukikaa vibaya unakula kibao kavu kavu na usiku utalala bila nguo tu, ukiwa makini unapata kiss na chocolate na outing la nguvu
 
Back
Top Bottom