hahahaaa au unakuwa mpole mnachorana kama masanamu lol!
Mwanaume akikupa upendo we mpe heshima ili mambo yaende sawa teh.... Teh! Maana upendo + upendo= presha!!!!!!

Binafsi ishawahi kunifika, ukweli siombi tena ijirudie kwani nusu nife niliokolewa na dada mmoja hv dr hsptal ya magunga korogwe jamanii sikieni tu kwa jirani