Mwanamke anapopigwa kibuti

Ingekuwa kukosa pesa wala asingeumia kwa sababu wanaume wenye pesa wako wengi tu

^^
Ni haki yake.. Maana wanawake wa kisasa wengi wenu hamjui mnahitaji nini ktk mahusiano.
^^
 
Ingekuwa kukosa pesa wala asingeumia kwa sababu wanaume wenye pesa wako wengi tu

Wapo wengi sawa sasa utawapata wakukupa???inategemea na huyo mtu mwenyewe........kila mtu ana jambo lke linalomuumiza.
 
huwa mnatoa pesa ndo mpendwe? ulishawai kumlipa nani na nani?

^^
Ha ha ha Hawa ndo wanawake wa JF,, Masikini mara hii mmesahau mnacholilia kwenye mapenzi?
Btw
Mimi masikini ntapata wapi pesa za kutafuta kupendwa?
Endeleeni kuwang'ang'ania wenye nazo ila mlie kidogo tu kwani mna feelings

jibu swali una invoice ngapi za kununua mapenzi?
 
kibuti kinauma ila uki experience yote kuachwa na kuacha inakuwa poa tu.😎
 
duuuh sijawah kuachwa hua naacha
nikiona mizinguo inaanza tu mi ndukiiiii
mambo gani ya kuharibiana future haya!!
maskini mdada wa watu,ye alipenda kama kazaliwa nae nn?!!
 
Linapokuja swala la penzi la dhatipesa haina nafasi ni lazima uumie xana cz ulimwamin na ukampenda asilimia 100 na ucpoangalia swala la kunywa sumu hua xo easily mwachen dada wa watu
 
duuuh sijawah kuachwa hua naacha
nikiona mizinguo inaanza tu mi ndukiiiii
mambo gani ya kuharibiana future haya!!
maskini mdada wa watu,ye alipenda kama kazaliwa nae nn?!!

tangu nizaliwe sijui maumivu ya mapenzi yakoje, ila nilikuwa na kamtindo ka kuchezea feelings za watu then nasepa... Ila sasa naheshimu aisee maana waweza uwa mtu hivihivi.
 
mhhh mwenzangu ulitaka kumuua nani?:smile-big:
 
tangu nizaliwe sijui maumivu ya mapenzi yakoje, ila nilikuwa na kamtindo ka kuchezea feelings za watu then nasepa... Ila sasa naheshimu aisee maana waweza uwa mtu hivihivi.

haahhahaaaa!!pacha we acha
dunia hii ya leo ukijifanya kupenda unakufa kama c kwa sumu
basi puresha!!mi aaakhuuu nikiona vp najikataa mapemaaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…