Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,048
- 4,449
Ngoja waje wenye uzoefu wa kutosa na kutoswa watupatie mawaidha yao. Wengine sisi bado hayajatufika
kwani sisi hatuna feelings mkuu! inauma sana kuliko hata kufiwa^^
Ha ha pamoja na kelele zote,,kumbe hata wanawake huwa wanaumia?
^^
^^
Ha ha pamoja na kelele zote,,kumbe hata wanawake huwa wanaumia?
^^
ahaaaaa! lakini inauma jamani! ndo maana sithubutu kumpenda mtu tena mweee!
ahaaaaa! lakini inauma jamani! ndo maana sithubutu kumpenda mtu tena mweee!
Ukipenda ama ukipendwa tegemea mambo kama haya siku moja.
inauma sn ila huyo mwenzetu kaenda extra miles khaa!