Ni kweli tunapenda kupendwa na hua tunapenda kwamoyo wote.
teh teh..huko sahihi mkuuNi kweli tunapenda kupendwa na hua tunapenda PESA kwamoyo wote.
teh teh..huko sahihi mkuu
teh teh..huko sahihi mkuu
Bichwa lako,kwanini umeongezea hapo??
Kichwa kipi??
Wanawake wanatofautiana kama zilivo species nyingne huez kujadili kiumbe kimoja ambacho kimegawanyika katika makundi zaidi ya milioni kutegemea na mazingira,nachomaanisha sioni mantiki ya kumchambua mwanamke ambaye hujui anawaza nini kichwani kwake
SiAmini; Mbona nimewapenda hawapendeki bhana......!!
Ok!
Kumbe ndo hivyo.
Ndio hivo
Huwa nashangaa kwanini tunaumiza akili kutaka mpaka kujua homo sapiens mwenzako ana hulka gani,anawaza nini?hio ni ngumu mkuu
Ni kama wewe sasa ivi wanaokujua wanaweza kukuelezea kama ni mtu mwema lakini je wewe hufanyi mabaya meng ila ni siri ya moyon
Kwa hio hata wanawake unaeza sema wanapenda lakini kumbe pia wana hisia za kuchukia so asipokupenda wewe atampenda mwingine vise vesa iz true
SiAmini; Mbona nimewapenda hawapendeki bhana......!!