KUBEMBELEZWA
Wanawake hupenda kubembelezwa pale wanapokuwa na huzuni, wengi wao hawapendi kukaripiwa, mara nyingi hupenda kuungwa mkono wanapokuwa na misuguano na wengine. Ili mwanaume amteke kimapenzi mwanamke lazima awe nyuma yake hata kama atakuwa na kosa. Wanawake wengi hupenda kuelimishwa zaidi kuliko kufokewa.
Ndicho wapendacho
Kikubwa na Financial Security, hayo mambo mengine yatajipanga yenyewe!!!
Pamoja na Kilimanjaro stars kushinda , jamani hivi Maximo aliletwa kwa ajili ya Bara au Tanzania nzima? Hivi kiutaratibu si angebaki kama mshauri tu kwa timu zetu za Zanzibar na Kilimanjaro ? Naomba ufafanuzi na mnieleweshe.
..Mpwa vipi tena? mbona umeingia choo cha kike??? Hii sio mahala pake hapa!! Modes help p'se..Pamoja na Kilimanjaro stars kushinda , jamani hivi Maximo aliletwa kwa ajili ya Bara au Tanzania nzima? Hivi kiutaratibu si angebaki kama mshauri tu kwa timu zetu za Zanzibar na Kilimanjaro ? Naomba ufafanuzi na mnieleweshe.
..Mpwa vipi tena? mbona umeingia choo cha kike??? Hii sio mahala pake hapa!! Modes help p'se..
Pamoja na Kilimanjaro stars kushinda , jamani hivi Maximo aliletwa kwa ajili ya Bara au Tanzania nzima? Hivi kiutaratibu si angebaki kama mshauri tu kwa timu zetu za Zanzibar na Kilimanjaro ? Naomba ufafanuzi na mnieleweshe.
Upendo
..Kule kwetu na kipigo pia. Usipomcharaza demu wako bana atakwambia huna mapenzi naye....Upendo