Mwanamke anaetoa siri za ndani ni mbaya kuliko shetani msaidizi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Usiniulzie shetan msaidizi ni yupi
labda ni kupashe mpendwa wewe ulieolewa ama kesho ama wengine wa mamamdogo leo wanaolewa
wengine wanakuwa wamejazia kwa wenzio yaani mke wa tatu ama wa nne aijalishi nayo ni ndoa

sasa basi kumbuka mlipooana kila mtu alizaliwa na mama na babamwingine na kutunzwa na wazazi wenu ikatokea am abahati nzuri ama mbaya huyo utaikuta kwenye ndoa mkapendana na leo mko kama mume na mke ..sipendi niseme mengi maana akuna kipya uhalisia unausikia mwenye we kwenye ndoa labda cha kufanya ni kukumbushana wapendwa wana ndoa na wanandoa watarajiwa

akuna kitu muhimu kama kufichiaana siri kwenye ndoa ..akuna aliesawa hata kidogo ..sio kuficha siri unakuta simu ya mwenzio imejaa majina ya mpesa 1,2,3, na tigo pesaa na masg zinahusu mapenzi unakaa kimya la namaanisha usiri ndani ya nyumba yenu kutoka kwa watu wa nje

sijui makubaliano yenu kuhusu simu lakini kama kuna kitu kinaua na kuendelea kuua wazazi wetu ni kukaa kimya wakati wa maafa ..ukiona mwenzio ana haribu mpe live yaishe songa mbele usiweke ndani kwenye moyo utakufa unamwacha anabadilisha bibi ama bwana kama spare nakushtua tu ..ati

mke wangu akiona nimekasirika achelewi kunipa live hny maisha mafupi haya kulala umekasirika kama ngondo si maisha nimeomba msamaha yaishe ..simwambii wako akuombe labda wako kuomba kwakwe mangumi aku sifiki uko bado niko banana ...

Basi leo hii wapendwa naomba muwe makini kwenye kutunza maatizo ya ndoa zenu ..nasema hivi i kwa mabibi kama nilivyoandika bali kuna wanaume wako kama mabinti yaani binti kachelewa sikumoja tu masaa mawili ashapiga kwa mama mkwe baba mwke shangazi loh...ukikutana na wale wanaogonga asbh unaingia anatoka sijui utasema yesu ni bwana kwa wako??embu tukue tuwe makini mtangulizen mungu kwenye ndoa zenu unajua nini kuna watu wanapenda kusikia mattatizo ya watu wanakucheka kwa ndani m nimeliona live nakwambia ooohh......unaatakiwa ufike mmalize matatizo yenu alafu nyumba yenu mnaweke wimbo wa ""mahali nimefika nimeuona mkono wako na sasa ninasema eewe ni ebereneza ...na wambea walinifwata nikauona mkono na sasa ninasema ee we ni ebereneza wakija majiran wanakutaa unacheza eeeeeeweeeeeee ni ebernezaaaaaaaaaaa weeeeeeee ni eberenezaaaa eweeeeeee ni ebernezaaaaa ...wacheni jamani ndoa bila mungu chungu nasema ohh....

Wewe mwanaume mwanamke ukiona mwenzio kabadilka usikimbilie kwa wazazi wako piga simu kwa yesu yeremia 33: 3 niite nami ntakuitikia ntakuonyesha mambo makuu makubwaaaa usyoyajua...wee unayapi makubwa uyajui???

Usione watu wamevaa makoti wambie wafungue mashati kwa ndani kuna virka ndugu zanguni na mjini watanashati....usione kila wigi kimevaliwa mengine yanaficha vipara shauli zako sio wanapenda na weweeeeeeeee


jifunze kutunza mattatizo yako akuna wigi la ndoa wigi wewe mwenyewe
ijumaa kareem
 
kichwa cha habari ungeongezea neno mwanaume ingekaa vizuri zaidi,maana kwenye maelezo umezungumzia wote wawili!ubarikiwe
 
Back
Top Bottom