google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,876
Both yeye ndo mwanzilishi wa hizi movement zoteFaith or science?
Both yeye ndo mwanzilishi wa hizi movement zoteFaith or science?
Programer wa kwanza naskia alikua wa kike
Ndiyo maana language za programmers ni ngumu😂😂Nilitaka niseme hii kitu, wale programmers wa kwanza wa NASA walikua wanawake
Ndiyo maana language za programmers ni ngumu[emoji23][emoji23]
Yamemshuka shuu....watu tumevumbua hadi kufinyia kwa ndani anasema nn...😂😂mleta uzi 🤣🤣
Alichokua anataka kukiprove kimemtokea puani..😂😂...ndiyo ndiyoYamemshuka shuu....watu tumevumbua hadi kufinyia kwa ndani anasema nn...
No more to say......atulie tuAlichokua anataka kukiprove kimemtokea puani..😂😂...ndiyo ndiyo
Mkuu tumia googleNimefatilia Historia ya ulimwengu wa sayansi sijapata kuona kitu alichovumbua mwanamke kama ndivyo kwanini tunaambiwa akili ya mwanamke na mwanamke ni sawa!
Marie Curie. Theory of RadioactivityNimefatilia Historia ya ulimwengu wa sayansi sijapata kuona kitu alichovumbua mwanamke kama ndivyo kwanini tunaambiwa akili ya mwanamke na mwanamke ni sawa!
Wewe pimbi mbona unatukana watu vipi kwani?hata mama yako kukugundua hutambui
Kabisa tech kubwa hiyoKutumia ndimu kurejesha usichana mdogo
Hii niliskia kweli