Mwanamke amekutwa amefariki Guest house

Mwanamke amekutwa amefariki Guest house

Kweli kabisa Mkuu, Nyumba kama hizi zina usalama wa Roho na Mwili. Lakini
pale Ubungo- mwisho, kuna Bar yenye Gest kwa nyuma yake, inayopiga sana miziki,
watu wa eneo hilo wanashuhudiaga kila mara vifo vya watu toka ndani ya Baa hiyo, hasa nyakati za usiku. si polisi wala mamlaka za mitaa kufanya lolote, wenyeji wanaiita baa chinjachinja

Duh. Hio hatari sana aisee
 
Bahati mbaya huyo jamaa kama hiyo ndo iwe guest ambayo kazoeleka, lazma atakamatwa fasta. Ili kuepukana na mambo kama hayo, ni vyema tuepuke kuweka kambi katika lodge/guest moja.

hilo nalo neno!!!???!!!
 
Wangeingia hapa wasingekufa pengine
Tena hiyo guest ukiingia ndiyo chances za kukumbwa na majanga zinakuwa kubwa, kwa kuwa huyo owner wa hiyo guest anafanya 'jokes' na jambo serious kama la wokovu!
 
unaweza kukuta ni mke wa mtu na aliaga kwenda kusalimia wazazi kijijin,na ukasindikizwa kituon na basi ukapanda!.NDio hivyo umefia gesti

Ebu wataalamu wa kusoma wasifu na risala ya marehemu hii unaiwekaweka vipi?

Umenifurahisha sana mkuu.
 
Bahati mbaya huyo jamaa kama hiyo ndo iwe guest ambayo kazoeleka, lazma atakamatwa fasta. Ili kuepukana na mambo kama hayo, ni vyema tuepuke kuweka kambi katika lodge/guest moja.

Duh! Umeongea neno mkuu!
 
kama unakula vitu ukisikia mwenzako analalama kuwa anakufa ukiendelea kumshughulikia atakufa kweli. Watu wengi wanadhani wakiambiwa hivyo ndiyo wanazidisha wanajua mamaa kapandisha mizuka kumbe israeli yupo karibu.
 
Mambo ya kawaida, tusitegemee watu kufia hospitalini tu. Wengine wanakufa hata barabarani wanapotembea. Chamsingi ni kuwaombea na kuwapa pole wafiwa. Polisi watachunguza na kutoa jibu chanzo cha kifo hicho.

Kwa uchunguzi wa polisi wetu hata kama ingetokea jamaa hajasepa na ikaonekana ni kifo tu cha kawaida ambacho kingetokea hata kama angekuwa amelala nyumbani kwake lakini lazima watakomaa na wewe mpaka kieleweke
 
unaweza kukuta ni mke wa mtu na aliaga kwenda kusalimia wazazi kijijin,na ukasindikizwa kituon na basi ukapanda!.NDio hivyo umefia gesti

Ebu wataalamu wa kusoma wasifu na risala ya marehemu hii unaiwekaweka vipi?
Ukiona watu wazima tena above 30 wanaingia guest house bila mabegi wengi ni michepuko na wachache wapo bf na gf, kwa vyovyote itakuwa ni mchepuko ndio maana mtu ame-run away
 
Mwanamke mmoja ambae jina lake halikufahamika mapema amekutwa amefariki dunia leo hii katika baa /guest inayofahamika kwa jina la Musoma guest house .

Mwanake huyo aliengia jana usiku akiwa na mwanaume wake ambae amekimbia baada ya tukio kutokea ,hajafahamika mpaka sasa na juhudi za kumtafuta zinaendelea.

Polisi walikuja kuchukua mwili wa marehemu na kuondoka na kwenda nao kituo cha hospital kwa uchunguzi zaidi.

Tukio hilo lililoacha taharuki limetokea wilaya ya Temeke maeneo ya Maguruwe karibu na Tandika maghorofani.

Eka picha mdau
 
Watu wabaya sana..yaani unapiga mtu katerero mpaka anakata pumzi?
 
Hapa hafi mtu na mechi itaisha kwa sare,,,,,
attachment.php
 
kama unakula vitu ukisikia mwenzako analalama kuwa anakufa ukiendelea kumshughulikia atakufa kweli. Watu wengi wanadhani wakiambiwa hivyo ndiyo wanazidisha wanajua mamaa kapandisha mizuka kumbe israeli yupo karibu.

Heheheeeee.......!!!
 
Back
Top Bottom