Mwanamke amekutwa amefariki Guest house

Mwanamke amekutwa amefariki Guest house

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
3,716
Reaction score
2,220
Mwanamke mmoja ambae jina lake halikufahamika mapema amekutwa amefariki dunia leo hii katika baa /guest inayofahamika kwa jina la Musoma guest house .

Mwanake huyo aliengia jana usiku akiwa na mwanaume wake ambae amekimbia baada ya tukio kutokea ,hajafahamika mpaka sasa na juhudi za kumtafuta zinaendelea.

Polisi walikuja kuchukua mwili wa marehemu na kuondoka na kwenda nao kituo cha hospital kwa uchunguzi zaidi.

Tukio hilo lililoacha taharuki limetokea wilaya ya Temeke maeneo ya Maguruwe karibu na Tandika maghorofani.
 
Mwanamke mmoja ambae jina lake halikufahamika mapema amekutwa amefariki dunia leo hii katika baa /guest inayofahamika kwa jina la Musoma guest haouse .

Mwanake huyo aliengia jana usiku akiwa na mwanaume wake ambae amekimbia baada ya tukio kutokea ,hajafahamika mpaka sasa na juhudi za kumtafuta zinaendelea.

polisi walikuja kuchukua mwili wa marehemu na kuondoka na kwenda nao kituo cha hospital kwa uchunguzi zaidi.

Tukio hilo lililoacha taharuki limetokea wilaya ya Temeke maeneo ya Maguruwe karibu na Tandika maghorofani.
Kawaida wanaokufa ni wanaume kwa kuzidiwa na BP baada ya excitement kuongezeka sana.
Wengine wanakula Viagra inayowaongezea mapigo maradufu, hivyo kurupture mishipa na kuishia kifo.
Sasa huyu bibie imekuwaje?
 
mimi nilikua napita ni kakutana na hilo tukio
 
Singida hapa.
Tukio kama hilo limetokea na limetokea jana usiku.
Mwanamke aliingia na mwanaume gesti na akafariki.
Habari za haraka haraka zinasema mwanaume huyo ambaye baadhi ya watu wanamfahamu kama mchepuko,alijitahidi kutoa ushirikiano na wenye gesti kwa lengo la kuokoa maisha ya mwanamke wake.
 
Kawaida wanaokufa ni wanaume kwa kuzidiwa na BP baada ya excitement kuongezeka sana.
Wengine wanakula Viagra inayowaongezea mapigo maradufu, hivyo kurupture mishipa na kuishia kifo.
Sasa huyu bibie imekuwaje?

Usishangae..mambo ya kizidigi unahisi km kufa lkn hufi lol
 
unaweza kukuta ni mke wa mtu na aliaga kwenda kusalimia wazazi kijijin,na ukasindikizwa kituon na basi ukapanda!.NDio hivyo umefia gesti

Ebu wataalamu wa kusoma wasifu na risala ya marehemu hii unaiwekaweka vipi?
 
Mambo ya kawaida, tusitegemee watu kufia hospitalini tu. Wengine wanakufa hata barabarani wanapotembea. Chamsingi ni kuwaombea na kuwapa pole wafiwa. Polisi watachunguza na kutoa jibu chanzo cha kifo hicho.
 
kweli mkuu
 
Bahati mbaya huyo jamaa kama hiyo ndo iwe guest ambayo kazoeleka, lazma atakamatwa fasta. Ili kuepukana na mambo kama hayo, ni vyema tuepuke kuweka kambi katika lodge/guest moja.
 
nilikuaga na demu ana pumu..yeye kuzimia wakati wa gemu ilikua kawaida..
 
Mambo ya kawaida, tusitegemee watu kufia hospitalini tu. Wengine wanakufa hata barabarani wanapotembea. Chamsingi ni kuwaombea na kuwapa pole wafiwa. Polisi watachunguza na kutoa jibu chanzo cha kifo hicho.

Wangeingia hapa wasingekufa pengine
 
Attachments

  • 1414218311905.jpg
    1414218311905.jpg
    22.1 KB · Views: 1,156
Ma katerero hayo.angalieni hasa hao wapenzi wenu wenye ndoa na dozi ya kupimiwa. Ukikutana nae issue anataka Kamuliwe mpaka upepo. Take care
 
Wangeingia hapa wasingekufa pengine

Kweli kabisa Mkuu, Nyumba kama hizi zina usalama wa Roho na Mwili. Lakini
pale Ubungo- mwisho, kuna Bar yenye Gest kwa nyuma yake, inayopiga sana miziki,
watu wa eneo hilo wanashuhudiaga kila mara vifo vya watu toka ndani ya Baa hiyo, hasa nyakati za usiku. si polisi wala mamlaka za mitaa kufanya lolote, wenyeji wanaiita baa chinjachinja
 
Back
Top Bottom