Mwanamke ambaye alishafunga ndoa kanisani anaweza kuolewa tena kanisani?

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
5,263
3,628
Wakuu leteni uzoefu

Mtu alikuwa ni mke wa mtu kwa ndoa ya kanisani kkkt, anataka kuolewa tena, na mahari itolewe imekaaje hii? walokole wamekubali, kutufungisha japo siyo waumini wao, sasa si utapeli wa kichaga huu kweli? au nioe tu, nimempata humuhumu member wa long time JF.
 
Huyo bado ni mke wa mtu...

Halafu unaanzaje kumtolea mahari mwanamke aliyekwisha zaa?
 
Kwa mujibu wa Biblia Wewe na yeye wote mtakuwa mnafanya uzinzi.
 
hapana haiwezekani chini ya jua,labda mfungie serikalini
 
Eleza vizuri. Je talaka ilitolewa na kanisa likaridhia? Kama ilitoka then sioni sababu ya kutokukubaliwa kufunga ndoa kanisani. Kama vipi fungeni ya Bomani.
 
Eleza vizuri. Je talaka ilitolewa na kanisa likaridhia? Kama ilitoka then sioni sababu ya kutokukubaliwa kufunga ndoa kanisani. Kama vipi fungeni ya Bomani.
Haijatolewa kabisaa, wala jamaa yaani mume wake wa kwanza kabla yangu hajafa,
 
Eleza vizuri. Je talaka ilitolewa na kanisa likaridhia? Kama ilitoka then sioni sababu ya kutokukubaliwa kufunga ndoa kanisani. Kama vipi fungeni ya Bomani.
Hata weye usijidanganye. Hakuna kanisa la Kristo linalokubali Talaka. Ukiona kanisa linalokubali Talaka usiingie hata hapo mlangoni. Bwana Yesu akasema; Mk. 10:9 Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…