Mwanamke ambaye alishafunga ndoa kanisani anaweza kuolewa tena kanisani?

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
5,263
3,624
Wakuu leteni uzoefu

Mtu alikuwa ni mke wa mtu kwa ndoa ya kanisani kkkt, anataka kuolewa tena, na mahari itolewe imekaaje hii? walokole wamekubali, kutufungisha japo siyo waumini wao, sasa si utapeli wa kichaga huu kweli? au nioe tu, nimempata humuhumu member wa long time JF.
 
Wakuu leteni uzoefu mtu alikuwa ni mke wa mtu ndoa kanisani kkt, anataka kuolewa tena. na mahali itolewe imekaaje hii. walokole wamekubali, kutufungisha japo siyo waumini wao, sasa si utapeli wa kichaga huu kweli? au nioe tu, nimempata humuhumu member wa long time JF.
Huyo bado ni mke wa mtu...

Halafu unaanzaje kumtolea mahari mwanamke aliyekwisha zaa?
 
Wakuu leteni uzoefu mtu alikuwa ni mke wa mtu ndoa kanisani kkt, anataka kuolewa tena. na mahali itolewe imekaaje hii. walokole wamekubali, kutufungisha japo siyo waumini wao, sasa si utapeli wa kichaga huu kweli? au nioe tu, nimempata humuhumu member wa long time JF.

Kwa mujibu wa Biblia Wewe na yeye wote mtakuwa mnafanya uzinzi.
 
Wakuu leteni uzoefu

Mtu alikuwa ni mke wa mtu kwa ndoa ya kanisani kkkt, anataka kuolewa tena, na mahari itolewe imekaaje hii? walokole wamekubali, kutufungisha japo siyo waumini wao, sasa si utapeli wa kichaga huu kweli? au nioe tu, nimempata humuhumu member wa long time JF.
hapana haiwezekani chini ya jua,labda mfungie serikalini
 
Wakuu leteni uzoefu

Mtu alikuwa ni mke wa mtu kwa ndoa ya kanisani kkkt, anataka kuolewa tena, na mahari itolewe imekaaje hii? walokole wamekubali, kutufungisha japo siyo waumini wao, sasa si utapeli wa kichaga huu kweli? au nioe tu, nimempata humuhumu member wa long time JF.
Eleza vizuri. Je talaka ilitolewa na kanisa likaridhia? Kama ilitoka then sioni sababu ya kutokukubaliwa kufunga ndoa kanisani. Kama vipi fungeni ya Bomani.
 
Haijatolewa kabisaa, wala jamaa yaani mume wake wa kwanza kabla yangu hajafa,
 
Eleza vizuri. Je talaka ilitolewa na kanisa likaridhia? Kama ilitoka then sioni sababu ya kutokukubaliwa kufunga ndoa kanisani. Kama vipi fungeni ya Bomani.
Hata weye usijidanganye. Hakuna kanisa la Kristo linalokubali Talaka. Ukiona kanisa linalokubali Talaka usiingie hata hapo mlangoni. Bwana Yesu akasema; Mk. 10:9 Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom