Mapigo Saba
Senior Member
- Dec 11, 2014
- 129
- 27
Dear Members happy new year!
Kwa mara nyingine napenda kuleta kwenu ombi langu la kutafuta mwanamke aliye-serious tu kuolewa.
Napenda awe Mwalimu au Nurse lakini si lazima.
Mimi nina umri wa miaka 28 nafanya kazi kanda ya ziwa so aliyetayari namkaribisha sana.
Kwa mwanamke yeyote aliye tayari ani-PM.
Note: Jukwaa hili ningependa litumike vizuri kwa manufaa chanya ili hadhi yake iendelee kuwepo vizazi kwa vizazi.