Dadangu nyumba kubwa kama utafanikiwa kufika mkoani Mara nyakati za msimu wa kukekeketa hutaamini macho yako. Dada zetu wako proud sana kufanyiwa hiyo kitu, hawa wa mjini ndio wamehepa. Na hao waliokeketwa wala hawaogopi kutoka/kuolewa na watu wa makabila mengine, ipo mifano mingi ya kuthibitisha hiyo.
Nitapata muda wa kuiweka sawa hii kitu siku moja.
Dadangu nyumba kubwa kama utafanikiwa kufika mkoani Mara nyakati za msimu wa kukekeketa hutaamini macho yako. Dada zetu wako proud sana kufanyiwa hiyo kitu, hawa wa mjini ndio wamehepa. Na hao waliokeketwa wala hawaogopi kutoka/kuolewa na watu wa makabila mengine, ipo mifano mingi ya kuthibitisha hiyo.
Nitapata muda wa kuiweka sawa hii kitu siku moja.
We will be grateful.
Ukija mtani naomba uje na KICHURI please, nimekimiss.
Mtani Mwita Maranya usichukue muda mrefu basi kuja. Utupe real expeience ya kwenu.
Je, mtani mkeo/girlfriend amekeketwa? If yes, tell us more.
Are you serious?
Chezea kichuri wewe, kitakupa mzuka wa kukeketwa shauri yako...
Ha ha haa mtani mbona una haraka hivyo?...
Dah! Hayo maelezo yako yamenifurahishammmh!! leo wadada wachache sana wanachangia huu mjadala au wanakosa point za kuongelea kwasababu nao havipo vile vidude?. After all kuwakata vile vijamaa ni uonevu mkubwa lazima tufanye review ktk mila zetu, zile zisizo na maana kama hizi za kukatana vidude zikatazwe mara moja. Hata kama wanapata utamu hao waliokeketwa lakini ukweli utabakia pale pale kuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya gari inayopiga starter yenyewe na ile ambayo haiwaki hadi isukumwe. Demu kama hana ile kitu hana nafasi, akachoshane na wanaume wa kwao huko huko wanaotaka gari zisizo na starter.
humu JF bana, Some people lies, and they use words such as 'never', nyie mnayekataa mnaresearch mliyofanya au mliyopitia ikaonyesha 0% ya waliokeketwa ndo wanainjoi??? wengine wanasema kamwe hawawezi oa eti kwa kisingizio cha kukeketwa, alikuambia nani mwanamke anaenjoy sex only through 'clitoris'?? Ni mara ngapi watu wanaposex wanagusa clitoris (sio during foreplay nazungumzia wakati hasa wa intercourse)
Its true kwamba clitoris is among if not most sensitive part ya female reproductive organ, lakini hii haimaanishi kwamba bila clitoris mwanamke hafiki, wapo haohao wenye navyo lakini hawainjoi kuguswa hiyo clitoris kama kukunwa kwenye G spot, wengine labia minors zikiguswa vizuri wanafika,
so vijana tusikariri kwamba clitoris ndo kila kitu, wapo wengi waliokeketwa na wanainjoi sana kuliko hao wenye miharage inayokaribia ukubwa wa mb**!
Kiningine nimesikitika kuwatenga au kuwalaumu wadada kwa vi2 ambavyo hawakukusudia kufanyiwa (kukeketwa), hiyo ni dhambi mbaya sana!! tusijiapize kwa vi2 vya kishenzi kama hivyo!!
Ukishindwa kumfikisha aliyekeketwa ni udhaifu wako wala si wakwake!!
Basi tu ni men s'ego kuona amekufikisha,clitoris haina utamu kwa wanaume,ni wanawake!wanaume ni joto na maji ambayo yanatoka as more she get aroused.....hiii wote mnatakiwa mshirikiane kufika kileleni.....mapenzi ni art mnatakiwa wote kujuana vizuri each other s'bodies....kufika waliokeketwa wanafika ila sie wanawake huwa tunaandaliwa kisaikolojia kwanza akikuona au kuhisi ni mpitaji/muongo hakojoi kamwe awe ametahiriwa ama not....
More than serious! Kwetu Mara so walikinyofoa wakati niko mdogo, mwee!