Mwanamke Akishagawa Papuchi Hana Ujanja Tena!!

Mwanamke Akishagawa Papuchi Hana Ujanja Tena!!

Status
Not open for further replies.
he poleni! kumbe huwa mnajipa moyo kwa mambo mengine ya kijinga! kwani papuch ndo nini!
 
Aah wapi labda kidemu chako cha uswazi..kinachosubiri mpk hela ya pedi...wengine tunafanya just for fun uwepo usiwepo life linasonga

wa uuswazi wala hawana hiyana,.

Nyie wa kishua ndo mnatusumbua sana!!

Kwani mkishamegwa mna ujanja tena?
 
Mwanaume Pigana Kufa Kupona, Mwanamke Akishakugawia Hiyo Bidhaa Hafukuti Tena!!!

Na Masharti Magumu Aliyokuwa Anakuwekea Awali Hayatakuwepo Tena,.

Sasa Atakuwa Chini Yako Na Kila Utakachomueleza Atakusikia Na Kukueshimu,.

Kudekadeka Tena Kwako Itakuwa Historia,.

Jipe moyo ndugu
 
Inategemea mkuu, kuna nyingine ni "tamu", ukionjeshwa tu ndio unakuwa "zezeta" kabisa huambiliki wala husikii! Chezeya papuchi wewe.....wewe unadhani ni kwa nini wale "watani zangu" kila leo wanaua na kujiua kwa bastola? kisa ni papuchi tu!

Hajawahi kukutana na papuchi huyo jamaa!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Labda kwa uliobahatika kuwa nao mkuu bt sio majority hapo umechemka vibaya kwa kweli
 
Basi kuna wengine wakishapewa papuchi ha!!!!nigune kwanzaa
Yaan mtu atakuganda kama vile umemzaaa
Wengine tuna bahat zetu banaaaa
 
Hili jambo lina ukweli kwa asilimia kadhaa say 30%... Ingawa naona wanawake wengi wana-act as if "give it to him" is just a normal thing. Lazima tukubali kuwa ukishapata papuchi haimaanishi you have full control over her, ila inakupa leverage fulani kwa huyo mwanamke, kwani nature inaelekeza mwanamke aibane kadri awezavyo na mwanamme atafute njia yoyote ile kuifungua. So mwanaume akiisha maliza kuna kaswali me nakaita ka kishenzi huwa kanakuja, "what have I left hapa?"

Fine hakuna mwanaume atakaeondoka na papuchi yako but Take my word, ikitokea mwanaume ameachwa na mwanamke kabla hajamvua kyupi, aisee inauma. Ni kama vile, ulikuwa kwenye marathon but You didn't run the whole distance. Kwa sababu what's the whole point of being with a woman if all you end up doing is chatting, for heaven's sake you can do that with any female friend or for that matter your even your sister.

It doesn't mean everything but it means something.
 
Mwanaume Pigana Kufa Kupona, Mwanamke Akishakugawia Hiyo Bidhaa Hafukuti Tena!!!

Na Masharti Magumu Aliyokuwa Anakuwekea Awali Hayatakuwepo Tena,.

Sasa Atakuwa Chini Yako Na Kila Utakachomueleza Atakusikia Na Kukueshimu,.

Kudekadeka Tena Kwako Itakuwa Historia,.

Ehh ww, bado unazo hizi ndoto za alinacha? Haya mambo ya 19 kweusi, kwanza sikuhizi wengi wenu jogoo hawiki mpaka mmekunywa mkuyati,mara viagra,! Sasa unamheshim vipi mtu ambae jogoo hawiki mpaka apigwe starter? Unaanzaje kumdekea huyo mtu? Halaf unakuta wallet imekoonda kama kimbwa chenye utapiamlo! Acha mambo yako bana!
 
Kiukweli hakuna control over a human being na hii haihusiani na kuachana...Bado mwanamke anaweza kukupotezea.

Na pia ukweli mwingine ni kuwa ili akugande ama atake kuwa na wewe kuna factor nyingi sana unatakiwa kutimiza.

Ila we all know it(men come on! semeni ukweli)...Uhusiano unaanza kumuwia easy mwanaume akishatimiza hicho. Matambo, maringo, swaga u name it. Zinaisha!! Now she becomes responsible to the relationship. Hata makubaliano yanakuwa rahisi sio kama zamani unabembeleeeza!!
Iko hivyo, wanaume wachangiaji kuweni wakweli
 
Mwanaume Pigana Kufa Kupona, Mwanamke Akishakugawia Hiyo Bidhaa Hafukuti Tena!!!

Na Masharti Magumu Aliyokuwa Anakuwekea Awali Hayatakuwepo Tena,.

Sasa Atakuwa Chini Yako Na Kila Utakachomueleza Atakusikia Na Kukueshimu,.

Kudekadeka Tena Kwako Itakuwa Historia,.

Hahahahaha.........hahahahahha. Samahani kaka....nilikua nimelewa tufanye kama hatujawai kuonana.....senk you.......au hujai kuambiwa "What happens in vegas stays in vegas". Bado kijana ukikua utakutana nayo tu....vuta subira kidogo.
 
ndo ukweli huo...sema hawaupendi kuusikia..
 
Kiukweli hakuna control over a human being na hii haihusiani na kuachana...Bado mwanamke anaweza kukupotezea.

Na pia ukweli mwingine ni kuwa ili akugande ama atake kuwa na wewe kuna factor nyingi sana unatakiwa kutimiza.

Ila we all know it(men come on! semeni ukweli)...Uhusiano unaanza kumuwia easy mwanaume akishatimiza hicho. Matambo, maringo, swaga u name it. Zinaisha!! Now she becomes responsible to the relationship. Hata makubaliano yanakuwa rahisi sio kama zamani unabembeleeeza!!
Iko hivyo, wanaume wachangiaji kuweni wakweli

wewe umeongea vema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom