Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,854
- 236,233
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thank you for your understanding. [emoji122][emoji122]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thank you for your understanding. [emoji122][emoji122]
Nishakuja
Nishakuja
Ngoja nipitie hiyo summaryUmejifunza nini
Ngoja nipitie hiyo summary
Nishasoma nimeelewa kuwa mleta summary / mada hataki mwanamke afanye maamuzi bila maelekezoSawa
Nishasoma nimeelewa kuwa mleta summary / mada hataki mwanamke afanye maamuzi bila maelekezo
Japo kasahau hapo kwa mavazi kuna wakati tunawaambia wanawake wetu wavae nguo fupiSawia umeelewa mkuu
Japo kasahau hapo kwa mavazi kuna wakati tunawaambia wanawake wetu wavae nguo fupi
Huo ni ukweli mtupu,mbaka sasa ndoa yangu imeharibika+imekufa baada ya mke wangu kutaka uhuru kwa nguvu zote,anataka afanye mambo yake anataka avae anavo taka anataka aende anako taka huko isnt grm kuna mutu anaitwa iddmakengo anaandika kuhusu uhuru wa mwanamke mwanamke yoyote akisoma hapo habaki salama.na mke wangu humufatilia kwa kila hatua nikashangaa siku nyingine amefungua duka lake bila mimi kunishirikisha mwanamke anataka talaka.
Mtukome
Kwa ushauri Wanaume wenzangu tunapaswa kuweka kautaratibu ka kuwadhibiti hawa viumbe Vinginevyo ndoa zitavunjika kila siku, hivyo napendekeza angalau mwanamke achwapwe na mumewe angalau mara mbili kwa mwezi ilikumkumbusha tuuu kuwa Wewe ni mwanaume na yeye ni mwanamke Kwahiyo tetea kiti chako Vinginevyo hawa viumbe hawaelewi