Mwanamke akipewa uhuru sana heshima yake inashuka

Naunga mkono 100% hata baadhi ya akina dada nadhani wataafiki pia

Na Dada yeyote ambaye hajaolewa na bikra hana apite tu .

Tusimame dakika 1 kwa heshima ya mleta uzi tafadhali.
 
WOMAN is seeking a divorce from her husband because he showers her with gifts and cleans the house without being asked, it has been reported.

The wife says her husband’s “extreme love” has pushed her to a divorce, she told a Sharia court in Fujairah, United Arab Emirates.
 
Em washukuru wazazi wako japo kwa sentesi moja kwa jinsi walivyolinda na kila baya la ulimwengu mapak hapo muda ulipofika.
 
Umeongea point sana lakini ndo basi tena wala haitatokea mabint wakalelewa kama inavyotakiwa..mm nimelelewa kwa kubanwa sana nakumbuka nilikua nikiombaga kwenda beach mama ananambia subiri kaka ako arudi kipindi icho nipo tu home bro anasoma chuo hostel yaan nililia eti nliona naonewa..daah nkitaka kwenda kwa ndugu walikua wanapiga cm kuuliza nimefika sangapi..
nakumbuka kuna day nlitumwa dukani basi ile narudi nakaribia getini kakaja katoto kanaita dadaa dadaa nkasimama akanipa namba ya cm hahaa yaan nlishangaa sana nkasema na kukaa kote ndani lakin wanaume hawakubali kushindwa wanataka kumharibu kila mtu nami sikutaka kuharibu sifa ya nyumba yetu kwamba mm ni geti kali nilikataa namba nkakubali kuishi tuu ndani bila kua na mtu mana mda sikua nao ata ningesema niwe na kajanaume.

Uhuru ukaanza nilipoanza chuo japo waliniomba ratiba yangu eti kwa kisingizio cha wajue sinsi ya kunipa ela kama siku vipindi vingi wanipe ela zaid na yakula nilijua tu wanataka kunibana kama siku nkichelewa.

Walikua wako sahihi ingawa kwa wakati huo niliona naonewa.

Em washukuru wazazi wako japo kwa sentesi moja kwa jinsi walivyolinda na kila baya la ulimwengu mapak hapo muda ulipofika
 
Kwa ushauri Wanaume wenzangu tunapaswa kuweka kautaratibu ka kuwadhibiti hawa viumbe Vinginevyo ndoa zitavunjika kila siku, hivyo napendekeza angalau mwanamke achwapwe na mumewe angalau mara mbili kwa mwezi ilikumkumbusha tuuu kuwa Wewe ni mwanaume na yeye ni mwanamke Kwahiyo tetea kiti chako Vinginevyo hawa viumbe hawaelewi
 
Ukikaa ukatulia utajifunza kwamba mwanamke ni sawa na tunda mtini. Likishaiva fahari yake ni kuliwa tu. Yaani mtoto wa kike akikua akakaa kwenye kioo ujue hisia zake ni mwanamume zaidi. akijishika manyonyo, akijikagua mzigo, akichungulia mapaja yake hisia zake zinawaza mwanaume tu. Hii ni kulingana na software yao mkuu.
Nakubaliana na wewe kwamba pale ambapo umemuoa na kumfanya wako, ichakachue software hadi ijikute imefika mwisho wa kusanikiwa. Usipofanya hivyo kila siku software yao inaomba updtates na patches. Kuna njia moja tu thabiti ya kuhakikisha software yako haipati madhara ya kimazingira ya kupata updates, nayo ni kuiondoa kwenye mtandao kabisa. Mfano, ukinunua simu au computer kisha ukaitumia bila kuwa connected na nyingine hapo utaitumia milele bila kuwa corrupted na malware. Namaanisha hata storage media toka nje usiunganishe kwenye hiyo system. Na hao wanawake pia. Adam aliruhusu shetani akawa connected na Eve, sasa wewe wako hakikisha hakuna network at all. Nje ya hapo na matter of time, lazima system iwe bleached na kuwa corrupted.

Best wishes ....
 
agiza maji nakuja kulipa Mkuu

Summary ya that subject above maana ni ndefu sana
Briefly inasema kuwa nyinyi wanawake hampaswi kupewa uhuru uliopitiliza, uhuru mnaopaswa kupewa nyie ni kwa kiasi kidogo sana.

Mkipewa uhuru uliopitiliza athari zake ni nyingi kuliko faida kijamii, maana mtaporomosha maadili hasa kwa mavazi yasiofaa, mtaota viburi hasa baada ya kuanza kushika pesa na kuwaletea shida wanaowazunguka, mtafanya maamuzi yenu wenyewe yasiokhwa na tija kwenye mambo mbali mbali ambayo yanaweza kupelekea kuvunja familia,mtaiingiza serikali kwenye gharama zisizokuwa na ulazima kwa kuanzisha departments mbali mbali za kudeal na migogoro ya kifamilia.

Mwisho, jamii yoyote ile tulivu mwanamke yuko under strict control.
 
Mwanamke asiwe na pesa..
Hii Ni ngao ya ndoa..
By Lizarazu[emoji3]
 
Mtoto halali na hela njoo huku ujifinze summary imeshawekwa

Cc Kingsmann
 
Huo ni ukweli mtupu,mbaka sasa ndoa yangu imeharibika+imekufa baada ya mke wangu kutaka uhuru kwa nguvu zote,anataka afanye mambo yake anataka avae anavo taka anataka aende anako taka huko isnt grm kuna mutu anaitwa iddmakengo anaandika kuhusu uhuru wa mwanamke mwanamke yoyote akisoma hapo habaki salama.na mke wangu humufatilia kwa kila hatua nikashangaa siku nyingine amefungua duka lake bila mimi kunishirikisha mwanamke anataka talaka.
HAKUNA UCHAWI HAPO😂😂😂HUYO JAMAA ANAWAPA MACONFIDENCE KWELI KWELI...
 
Back
Top Bottom