Mwanamke akipewa uhuru sana heshima yake inashuka

Mwanamke akipewa uhuru sana heshima yake inashuka

Overrr....yaani hapo umemaliza mzee wa kazi... Zaman kulikuwa hakuna mambo ya kutelekezwa wanawake sababu ilikuwa ni ugumu uliopitia kupata mschana...sasaiv unaweza asubuh ukamla demu uyu baadae usiku ukamla demu yule...yaaani wamekuwa warahisi sijapata kuona...wenyewe wanajiita wazungu...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wakataaji mimba kibao sababu wanajua siku hizi mwanamke sio wako peke yako.

Na wakutohudumia kibao sababu wanajua mwanamke sio wako peke yako siku hizi...

Leo hii tunahusisha stress na kuoa??????????wakati mtu ukioa ndo unatoka na kitambi kabisa unakuwa smart unafanikiwa kimaisha!!
 
Hivi kwa nini wanawake wa siku hizi wanakuwa WA ajabu sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo hapa na popcorn, mteme nyongo taratibu msiturushia jamani.

Cc Lizarazu and company.
 
Ila wewe kulakula unajiona uko sahihi. Ama kweli dunia inakwenda kasi sana.
Overrr....yaani hapo umemaliza mzee wa kazi... Zaman kulikuwa hakuna mambo ya kutelekezwa wanawake sababu ilikuwa ni ugumu uliopitia kupata mschana...sasaiv unaweza asubuh ukamla demu uyu baadae usiku ukamla demu yule...yaaani wamekuwa warahisi sijapata kuona...wenyewe wanajiita wazungu...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ni wanaume mmekuwa mafurushi sana, sijui nimesikika?[emoji136]
Mkibadilika nyie basi eleweni mwanamke ni rahisi sanaaaa kumbadilisha. Na dunia itakuwa mahali salama kabisa pa kuishi.
 
Huo ni ukweli mtupu,mbaka sasa ndoa yangu imeharibika+imekufa baada ya mke wangu kutaka uhuru kwa nguvu zote,anataka afanye mambo yake anataka avae anavo taka anataka aende anako taka huko isnt grm kuna mutu anaitwa iddmakengo anaandika kuhusu uhuru wa mwanamke mwanamke yoyote akisoma hapo habaki salama.na mke wangu humufatilia kwa kila hatua nikashangaa siku nyingine amefungua duka lake bila mimi kunishirikisha mwanamke anataka talaka.
 
Back
Top Bottom