KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Sasa mamii mbona mimi sikukorofishi? na kila leo unachomoa? au nikuendee kwa mganga?.kama mnayajua yote hayo.......kwa nini huwa mnatukorofisha......?
Sasa mamii mbona mimi sikukorofishi? na kila leo unachomoa? au nikuendee kwa mganga?.kama mnayajua yote hayo.......kwa nini huwa mnatukorofisha......?
Wewe yaani sijui nikueleweje? lakini anyway inaonesha unaongea kinyumenyume tu.kinda strange reverend, lakini eti mi hudhani the less the money a man has, the more loving he can be! na staki kusahihishwa! mkpataga hela u play hard to get!
Mamii pole kwa mshtuko,ila usijali utazowea tu.Duhhhhh..
Kwa hiyo amkamue mchana kweupeeee,sawa lakini kazi atafanya saa ngapi na kukamua kunamgoja?

Dahhhhhhh
Utabidi ubadulishe music
Sasa hivi ni mchana tu ...
Usingoje usiku maana wajua ataumwa..
Mamii Shantel,naomba unitumie contact za hao waliopinda kwenye ma saloon,nakuahidi nitawanyoosha,na hata kama wewe ni mmoja wapo basi unitonye na mimi nakuahidi nitakunyoosha kiulaiiiiniiiiiiiiii,.,.,.,.tena kote kote kisamaki.Basi wewe hujakutana na majambazi ya mapenzi, na usiku yana perform tu they dont give a damn
kuna wanawake wamepinda hapa mjini, ukiwa masalon na sehemu za kusukia ndio utajua kwamba
wamepinda.kwa mtaji huu unaeza ishia umzanie sie ndie
Jaribu kwangu na wala hutapigwa butaa teeenaaa ,.,.,.,.,.periooood.

Ngoja ngoja maana nikipenda
Napigwa na butwa
Si urudi kunijibu mimi mamii au?Oooooooooh haya nimekuelewa kloro, ngoja nirudi kwa likaka
Mimi nampenda zaidi mamii.Mwanamke ana vikolombwezo vingi sana, ukimfanyia atakultea kile, ukimwongeza lingine akifurahi basi atakuongezea vilivyo zaidi ya mwanzo. Mwanamke hakika ni mtamu akikupenda vizuri na kumpa heshima yake. Ukiweka acid korofi baaaaaasi, ile neno NAMPENDA SANA PRETA kunapungua(Preta samahani sana kwa kutumia jina lako,hata hivyo nakupenda sana aisee).
Umeniacha njia panda mrembo wewe,habu fafanua basi.babu, weeh hujisikii raha bibi anavyotembea na nanii za ndani za kwako? afu ulishaanza kutembea na gagulo zake?

Dada yangu sisi wanaume wote ni mbwa na unamuelewa mbwa ata umfanyaje atakwenda kuokata mfuta tuu kwa jiranikama mnayajua yote hayo.......kwa nini huwa mnatukorofisha......?
Mkuu Eiyer mimi nashindwa kuelewa kabisa hizi mambo huyu bibie anaongelea,eti kutembea na nanii za ndani,mara na gaguro au mimi napata mfadhaiko wa akili?

Is this love or some kind of psychological problem??

Baadhi ya madada wana hiyo sana, unaweza ukaonesha hisia zako kwake na ikifika kipindi fulani atakuona wewe kama mjinga fulani hivi na anaishia kukudharau mwishowe kibuti, mbaya sana hii!
Usitudanganye mamii,hapo ulipo hand bag yako imejaa pesa za kuhongwa au vipi? au utakataa wakati muhongaji ni rafiki yangu?eiyer my bro, hisia chanya zikikutana na hisia hasi unapata jibu hasi. hakuna free lunch rafiki, u love a woman u get multiple love right back. u treat a woman like shit, u know who will laugh last. eti u treat me anyhow u want and u expect me to treat u like the king? hell no! japokuwa nakataa kuwa mojawapo ya masharti kuwa hela, no!
Nadhani unapinga ukweli basi wewe mwezetu fisi kama sio mbwa.Mbwa ni wewe ,lakini sio wanaume woote,kuwa na adabu kenge wewe.
Kuna mwanaume humu aliyetembea na mwanamke mmoja toka kuzaliwa?kama yupo ni mtoto mdogo tuuu.wewe unajua ukweli wanaume ni mbwa tuuu atakama unaumia ila ukweli ndio huo wacha unafiki tubadilike kwa wake zetu.nimetumia tafsida kukuitwa mbwa weweUnaita wanaume wote mbwa?,sisi wengine tunajiheshimu bhana,au wewe ndio mbwa ndio maana unatukana wanaume wote kefule wee.
Usitudanganye mamii,hapo ulipo hand bag yako imejaa pesa za kuhongwa au vipi? au utakataa wakati muhongaji ni rafiki yangu?
Halafu wewe Chauro chunga sana,hapa nilipo nina kesi inakuhusu,ila kama utaniruhusu nitaitaja hapa ingawa sio vizuri.unaitwa Utamu wa kuogelea kwenye bahari ya mapenzi..........huoni mwisho nyeusi lazima iwe nyeupe la la la.
Unaita wanaume wote mbwa?,sisi wengine tunajiheshimu bhana,au wewe ndio mbwa ndio maana unatukana wanaume wote kefule wee.
Basi mamii,usipate hasira,pia ujue nakuzimikia sana kwa michango yako ya chachandu na urojo.Huwezi ukawa Na rafiki Mwenye pesa ya kuhonga wewe. Watu wa aina yako wanakuwa Na marafiki waliofanana nao kwa Tabia pia.
You live in your own small fantassy world, money does not exist there. No pun intended, stop stalking me.
kama mnayajua yote hayo.......kwa nini huwa mnatukorofisha......?