Bei Rahisi Electronics
Senior Member
- Apr 4, 2025
- 197
- 584
Jinsia yako?Tunakula ela za jamaa
Wewe na huyo mwanamke "mnakula hela ya mwanaume" kuna siku nanyie mtaliwa vitu vyenu......Inakuwaje mwanaume hutakiwi na mwanamke na bado unamlazimisha , Mwanamke akikupenda huitaji nguvu nyingi dalili utaziona, Hapa ofisini jamaa analazimisha penzi kashakataliwa mara nyingi bado anafosi.
Binti akitumiwa message anakuja kunionesha Mimi, Tunakula ela za jamaa akitumiwa tunaenda kuinjoy.
Nakazia π¨Wewe na huyo mwanamke "mnakula hela ya mwanaume" kuna siku nanyie mtaliwa vitu vyenu......
Soon-unaenda-kufirwa niamini mimiBinti akitumiwa message anakuja kunionesha Mimi, Tunakula ela za jamaa akitumiwa tunaenda kuinjoy.
Kijana pumbavu sanaUtafirwa
SI ametaka mwenyeweWakati unazitumbua hela za mwanaume mwenzako Kuwa makini mwisho unaweza na wewe ukatumbuliwa
Japo siungi hoja kula pesa za mwamba ila mwanaume kupendwa kupo.Wewe na huyo mwanamke "mnakula hela ya mwanaume" kuna siku nanyie mtaliwa vitu vyenu......
AjalazimishwaUnafurahia kula pesa za mwanaume mwenzako..!!!!!!
Siku mshikaji akiwa na nyie wote maghetoni,, mmoja anampaka mate mwingine anamwagia mafuta kulainisha nyama,, nadhani utakuwa happy pia π
Nakupenda mimiiii ππ!
Awaelewi HawaNakupenda mimiiii ππ!
Ni kweli kabisa Mwanamke akipenda amependa!
ThubutuAngalia mtakuja kuliwa wote.
Ujinga wako mwenyeweNakazia π¨
Acha ujinga wewJinsia yako?
Madam nasaka anae nipenda kama wewe unavyopenda aseeNakupenda mimiiii ππ!
Ni kweli kabisa Mwanamke akipenda amependa!