Mwanamke akikanyaga chuo kikuu tu, simuoi wasumbufu

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
2,222
Reaction score
3,160
Yana wanawake sijui walilaaniwa na nani, kila.muda wa inferiority complex,
Wanadhani wanadharauliwa kumbe hapana

Ndo maana ukikuta mwanamke katika wadhifa fulani wanawatesa watu sana

Kutana na askari wa usalama barabarani, au pata naibu spika mwanamke muone,

Hiyo tabia yao huwa inaingia hata kwa familia,

Anadhani mme anamdharau, atajiongelesha vingereza, anajifanya busy na kazi za Ofisini, majukumu ya famillia hana muda nayo,

Alafu ni rahisi kukubishia mbele ya watoto wakaona kuwa mama anampeleka puta baba kwa masuala ya uelewa,

Inabidi baba uwe na uwezo wa kuwadanganya watoto na mke wako mambo mbalimbali ya sayansi uchumi na kadharik A kama haupo wanasema tunasubiri baba tumuulize swali ili, na inaleta heshima,

Tumesoma nao vyuo vikuu tunajua tabia zao,

Ukitaka matatizo ya ndoa oa madegree
 
Inategemea na silka na tabia ya mwanamke mkuu. Hata hao wa mitaani nao ni shida.
Hiyo ni kweli au huyu mkuu hajaona ile video inayosambaa ya dada mswahili akimsema mumewe kuwa hata hamsumbui..mwanaume hana hata kash kash
Et mwanamke anataka asumbuliwe mwanaume hata hajawahi kufumaniwa hahaha....yote ni silka mkuu
 
Tabia ndio jambo la muhimu haijalishi ana elimu gani

Ukipata mwenye tabia nzuri anayejitambua hapo mambo poa
 
Yana wanawake sijui walilaaniwa na nani, kila.muda wa inferiority complex,
Wanadhani wanadharauliwa kumbe hapana

Ndo maana ukikuta mwanamke katika wadhifa fulani wanawatesa watu sana

Kutana na askari wa usalama barabarani, au pata naibu spika mwanamke muone,

Hiyo tabia yao huwa inaingia hata kwa familia,

Anadhani mme anamdharau, atajiongelesha vingereza, anajifanya busy na kazi za Ofisini, majukumu ya famillia hana muda nayo,

Alafu ni rahisi kukubishia mbele ya watoto wakaona kuwa mama anampeleka puta baba kwa masuala ya uelewa,

Inabidi baba uwe na uwezo wa kuwadanganya watoto na mke wako mambo mbalimbali ya sayansi uchumi na kadharik A kama haupo wanasema tunasubiri baba tumuulize swali ili, na inaleta heshima,

Tumesoma nao vyuo vikuu tunajua tabia zao,

Ukitaka matatizo ya ndoa oa madegree
ⓝⓐⓚⓘⓢⓐⓑⓢⓚⓡⓐⓘⓑ hiki kiuzi mana najua mapv yanakuja
 
Unacheka na mwanamke ndugu yako uyo? Piga mimba mfululizo endelea kupambana namajukumu yakiume.... Nasema mpe timu achauoga mbona anatulia tu. ...
 
Yana wanawake sijui walilaaniwa na nani, kila.muda wa inferiority complex,
Wanadhani wanadharauliwa kumbe hapana

Ndo maana ukikuta mwanamke katika wadhifa fulani wanawatesa watu sana

Kutana na askari wa usalama barabarani, au pata naibu spika mwanamke muone,

Hiyo tabia yao huwa inaingia hata kwa familia,

Anadhani mme anamdharau, atajiongelesha vingereza, anajifanya busy na kazi za Ofisini, majukumu ya famillia hana muda nayo,

Alafu ni rahisi kukubishia mbele ya watoto wakaona kuwa mama anampeleka puta baba kwa masuala ya uelewa,

Inabidi baba uwe na uwezo wa kuwadanganya watoto na mke wako mambo mbalimbali ya sayansi uchumi na kadharik A kama haupo wanasema tunasubiri baba tumuulize swali ili, na inaleta heshima,

Tumesoma nao vyuo vikuu tunajua tabia zao,

Ukitaka matatizo ya ndoa oa madegree

Mwanao wa kike naye umsomeshe mpaka darasa la saba au form four pekee ili apate mume .... Type ya Babake....!!!

Hakikisha hafiki chuo kikuu....!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom