Mwanamke akikanyaga chuo kikuu tu, simuoi wasumbufu

Mwanamke akikanyaga chuo kikuu tu, simuoi wasumbufu

Niliwah kukutana na Prof. mmoja wa pale mzumbe alisema ukitaka kufaid maisha ya ndoa muoe mwanamke ambaye hana elimu kubwa, mwanamke ambaye kuolewa na wewe ni moja ya mafanikio ktk maisha. Ila hawa wanaojifanya wanadai haki sawa wakati hata neno lenyewe "haki" haliko sawa ni pasua kichwa.
Mimi binafsi form four ananitosha.
 
kuna ka ukweli ndani yake lakini inategemea zaidi na hulka zao.... maisha yachuo na maisha baada ya chuo, wanakuwa aggressive kidogo
 
Ubaya wa wanawake wasomi ni kwanza wametumika zaidi,pili wanapoteza mvuto na sifa ya kua mke bora,tatu kibr na dharau...utakuja kugundua wanaume wasomi wanaogopa ndoa sana sababu ya kuwa karibu na wanawake wa chuo kwa mda mrefu tofauti na wa mtaani wanaoa tu...yaani kwa kifupi 65% ya wanawake waliosoma wakafika degree ukioa ujue umeuziwa mbuzi kwenye gunia...hizo 35% zilizobaki ni wale wachache wameumbwa na utulivu wa asili sio wa kufuata mikumbo,hawana kiburi na dharau....mwanamke wa diploma kushuka chini angalau uwaga hawana stress sana...binafsi nawapenda sana wanawake wa chuo kuwagonga week au mwezi thn napita zangu hivi
 
Mwanao wa kike naye umsomeshe mpaka darasa la saba au form four pekee ili apate mume .... Type ya Babake....!!!

Hakikisha hafiki chuo kikuu....!!!
Watasoma tu ila tunajua watakuja kua mzigo tu kwenye ndoa zao
 
Kwa Mimi niliyeoa wa lasaba wacha nikae kimya, ila kiukweli toka moyoni ningekuwa na uwezo wa kurudia kuona kigezo kingekuwa kama huna master na kuendelea yaan Degree na u- PhD....

Apite mbali. Kiukweli challenge ya msomi na std ni tofauti kinyama
 
Aisee.... Tell us more and more...!!!!
 
Hasizid diploma
Sasa kwa mfano mwanaume ambae hata kuandika vizuri hawezi ataweza kukaa na mwanamke ambae yupo vizuri kielimu, ndio maana kuna madaraja.Ukiona hivyo jua hao ni stahiki ya wengine,maskini wapo ili tajiri awepo.
 
[emoji23] [emoji23] kuna dada mmoja kaolewa na mwanaume akimtumia sms huo mwandiko utacheka uanguke.
 
Yana wanawake sijui walilaaniwa na nani, kila.muda wa inferiority complex,
Wanadhani wanadharauliwa kumbe hapana

Ndo maana ukikuta mwanamke katika wadhifa fulani wanawatesa watu sana

Kutana na askari wa usalama barabarani, au pata naibu spika mwanamke muone,

Hiyo tabia yao huwa inaingia hata kwa familia,

Anadhani mme anamdharau, atajiongelesha vingereza, anajifanya busy na kazi za Ofisini, majukumu ya famillia hana muda nayo,

Alafu ni rahisi kukubishia mbele ya watoto wakaona kuwa mama anampeleka puta baba kwa masuala ya uelewa,

Inabidi baba uwe na uwezo wa kuwadanganya watoto na mke wako mambo mbalimbali ya sayansi uchumi na kadharik A kama haupo wanasema tunasubiri baba tumuulize swali ili, na inaleta heshima,

Tumesoma nao vyuo vikuu tunajua tabia zao,

Ukitaka matatizo ya ndoa oa madegree
Std 7+std 7= std 0. Over
 
Mwanao wa kike naye umsomeshe mpaka darasa la saba au form four pekee ili apate mume .... Type ya Babake....!!!

Hakikisha hafiki chuo kikuu....!!!
comment fikirishi yenye fact na ujumbe pia
 
We jamaa vp!??

Mbona ndo wake walio mtaani sasa..

Tena saivi ajira hamna. Unajichagulia tu.
 
Ndio ninaowataka ili tubishane kwa hoja, akinishida sawa nikimshinda sawa. Sipendi wale wanaosema namwachia Mungu
 
Kuoa mwanamke msomi raha bwaanaa!

Labda unaogopa km na ww hujasoma
Mkikaa zenu kitandani mnapigana lecture kwanza kabla hamjaanza mambo yetu yale!

Raha mkumbushiane mambo yenu ya chuo, hekaheka za UE, Sup n.k!

Sasa mtu hajasoma mtakua mnapiga story gani? Si atakua anakuletea umbea wa mtaani tuu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom