Mwanamke akikanyaga chuo kikuu tu, simuoi wasumbufu

Mwanamke akikanyaga chuo kikuu tu, simuoi wasumbufu

Kuoa mwanamke msomi raha bwaanaa!

Labda unaogopa km na ww hujasoma
Mkikaa zenu kitandani mnapigana lecture kwanza kabla hamjaanza mambo yetu yale!

Raha mkumbushiane mambo yenu ya chuo, hekaheka za UE, Sup n.k!

Sasa mtu hajasoma mtakua mnapiga story gani? Si atakua anakuletea umbea wa mtaani tuu!!!
Wote ni walewale tofaut iko kwenye maendeleo ya kifamilia tu, na mme uwe na adabu kweli bilaivo utatolewa nishai kila mara.
 
Oa mwenye hekima,ufahamu na akili. Mengine hayo yote mnajazana upepo tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom