Mwanamke akiendesha baiskeli

hakuna kitu kinaleta stress kama kusahahu simu home duh
 
Sijawahi kabisa! hata juzi nilienda hospitali goti linauma, nikapelekwa kitengo cha mazoezi moja wapo ya zoezi wakaniambia haya lala halafu fanya kama unaendesha baiskeli!! looooh! nikawaaambia mie sijawahi ndio wananielekeza, hahahahahah
Nilikuambia si kila staili ni rafiki kwako ukanibishia... Ona sasa magoti yanakuumbua.

Staili nyingine muwachie wenye vimiili vyao bhana... khaaa!!
 
si wanagomaga usiweke babu.. sasa huweki ukisahahu dadeki mpaka mkojo unagonga gonga
Basi punguza au acha kabisa kuchepuka...

Mi niko radhi nisahau kuvaa boxer kuliko kuisahau simu nyumbani... pamoja na kuwa ina ma password kibao kiasi cha nikilewa mengine nayasahau.
 
ha haa sawa babu nitafanya hivyoo.. babu punguza na wewe utakuja kufia kifuani ujue
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeipenda hii comment
Basi punguza au acha kabisa kuchepuka...

Mi niko radhi nisahau kuvaa boxer kuliko kuisahau simu nyumbani... pamoja na kuwa ina ma password kibao kiasi cha nikilewa mengine nayasahau.
 
Nilikuambia si kila staili ni rafiki kwako ukanibishia... Ona sasa magoti yanakuumbua.

Staili nyingine muwachie wenye vimiili vyao bhana... khaaa!!
Ilikuwa hospitali kwenye mazoezi sio kule kwingine hahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…