Mwanamke akicheat anaweza badilika?

Tatizo lako unanuka mdomo
 
Hako ka mchezo asikwambie mtu, kuacha ni ngumu sana labda kwa maombi maalumu.
 
Wakuu habari zenu, naomba kuuliza hv kwel mwanamke ambaye amekusaliti na akaomba msamaha kweli anaweza badilika asirudie tena?? Na hapo ni amekuwa na mpango wa kando kwa zaidi ya miaka mitatu unamkamata ndo anaomba msamaha[emoji30][emoji30][emoji30]
Labda baada ya huo msamaha umuondoe (muhame) mazingira hayo, na mawasiliano yake ya awali uyadhibiti. Ujue wakati mwingine wanashawishiwa sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…