Mwanamke ajioa mwenyewe baada ya kukosa mume

Aiseeeeh ikishindikana najitafutia mziwanda wangu Kama shilole tu.

Uwe na pesa, kijana gani wa kumpelekea makunyazi na pesa huna.

Mume wako unaye sasa ila inabidi to open ur eyes.

Kama unatamani kuolewa na mtoto wa Rostam basi utasubili sana mpaka 60. Mungu atakupenda zaidi Aleluya tutaonana ×2
 
Mhh!! Ndoa hizi bana!! Walioko nje wanataka kuingia walioko ndani wanataka kutoka,kazi kweli kweli......
 
Mkuu Matola nilipoiona hii nikabaki nacheka tu, kumbe kwa baadhi kuolewa ni muhimu. Mrembo kakosa wa kumuwowa kaamua kujiwowa mwenyewe. Kazi kweli kweli! Sasa kajiwowa mwenyewe ili iweje?

.......Labda atakuwa anajipa raha mwenyewe ya kujig jig.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie mwenyewe ndio naelekea kufanya hivyo lols

Wewe unadenguwa sana, mara ufuate ushauri wa Mange kujirengesha kwa wazungu mara niko single mara hivi mara vile.

Sasa mwaka huu acha longolongo tunataka kwa uchache wanaume watano kivyao na wanawake 10 kivyao wa hapa MMU wawe wamefunga ndoa, mambo ya kupigana game tu ni zinaa kwa dini zote na Mungu amekataza.
 
HAHAAAA. MKUUU HADINAHUKUU HUÈLEWI HILI NI TATIZOKUBWA KWA MWL WAKO WA VIDUDU NILIJUA PDIDY SASA FUNGUA UFAHAMU NAANZAKUKUELEKEZAYAANIALIMAANISHA. KUNABINTIAMETAFUTA MUTUWAKUMUWOWWAAAA AMEKOSA KAAMUAAKUJIWOOOWAAAMWENYEWEEKAMAAWEEEMUTUWABUKOBAAAAUNAELEWAKULIKONINAEANDIKA,,,,SOFARBADONAJIUHURIZAAA ATJINANIIIMWENYEWEE?? MKUUMATOLA HIYOCHAMTOTONAONAMOJA KWENYENET JAMAQYAKEKALAKONA SIKUYAHARUDIDEMUKAENDACHURCH KATOKANAMAMAMETI WAKE WAKAEREKEAKWA PARTY WAKATIWAKEKIII AKAOMBAALISHWEENAMAMAYAKE THENN RANGIZA NYUMBAWALIWEKAKWENYEMABOMBA WAKAANZAKUMIMINIAAALOHANGENIONYESHABANKSTATEMENTYAKE NINGEHUDHURIAHATAKANISANITUGELESHA,,MKUUU USIOPOEREEAHAPA HIRIII NITATIZOLaMwalmkuu formfour akuwanakufwatiria revoyetu inaishiahapa kukuerekezazaid cc c Maasaidada(inrrlationship),faizerfoxy(not known) erisi njoo mrimani jioni nipm nikirekereze

Pdidy ninakuelewavizurisanakwambaamulaumamwalimuwakewachekeahahahahahawacaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaacabbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaawapimasaidadahukutujiwayawaya
 
HAHAAAA. MKUUU HADINAHUKUU HUÈLEWI HILI NI TATIZOKUBWA KWA MWL WAKO WA VIDUDU NILIJUA PDIDY SASA FUNGUA UFAHAMU NAANZAKUKUELEKEZAYAANIALIMAANISHA. KUNABINTIAMETAFUTA MUTUWAKUMUWOWWAAAA AMEKOSA KAAMUAAKUJIWOOOWAAAMWENYEWEEKAMAAWEEEMUTUWABUKOBAAAAUNAELEWAKULIKONINAEANDIKA,,,,SOFARBADONAJIUHURIZAAA ATJINANIIIMWENYEWEE?? MKUUMATOLA HIYOCHAMTOTONAONAMOJA KWENYENET JAMAQYAKEKALAKONA SIKUYAHARUDIDEMUKAENDACHURCH KATOKANAMAMAMETI WAKE WAKAEREKEAKWA PARTY WAKATIWAKEKIII AKAOMBAALISHWEENAMAMAYAKE THENN RANGIZA NYUMBAWALIWEKAKWENYEMABOMBA WAKAANZAKUMIMINIAAALOHANGENIONYESHABANKSTATEMENTYAKE NINGEHUDHURIAHATAKANISANITUGELESHA,,MKUUU USIOPOEREEAHAPA HIRIII NITATIZOLaMwalmkuu formfour akuwanakufwatiria revoyetu inaishiahapa kukuerekezazaid cc c Maasaidada(inrrlationship),faizerfoxy(not known) erisi njoo mrimani jioni nipm nikirekereze
​hivi ndugu yangu huu mwandiko ni makusudi ama, napenda kusoma comment zako lakini hivi karibuni unanipa shida kiasi cha kwamba naziruka kuogopa kuumiza macho na ubongo
 
HAHAAAA. MKUUU HADINAHUKUU HUÈLEWI HILI NI TATIZOKUBWA KWA MWL WAKO WA VIDUDU NILIJUA PDIDY SASA FUNGUA UFAHAMU NAANZAKUKUELEKEZAYAANIALIMAANISHA. KUNABINTIAMETAFUTA MUTUWAKUMUWOWWAAAA AMEKOSA KAAMUAAKUJIWOOOWAAAMWENYEWEEKAMAAWEEEMUTUWABUKOBAAAAUNAELEWAKULIKONINAEANDIKA,,,,SOFARBADONAJIUHURIZAAA ATJINANIIIMWENYEWEE?? MKUUMATOLA HIYOCHAMTOTONAONAMOJA KWENYENET JAMAQYAKEKALAKONA SIKUYAHARUDIDEMUKAENDACHURCH KATOKANAMAMAMETI WAKE WAKAEREKEAKWA PARTY WAKATIWAKEKIII AKAOMBAALISHWEENAMAMAYAKE THENN RANGIZA NYUMBAWALIWEKAKWENYEMABOMBA WAKAANZAKUMIMINIAAALOHANGENIONYESHABANKSTATEMENTYAKE NINGEHUDHURIAHATAKANISANITUGELESHA,,MKUUU USIOPOEREEAHAPA HIRIII NITATIZOLaMwalmkuu formfour akuwanakufwatiria revoyetu inaishiahapa kukuerekezazaid cc c Maasaidada(inrrlationship),faizerfoxy(not known) erisi njoo mrimani jioni nipm nikirekereze

BlAzqq u~meTiShaA KaMa asipokUelewA na HaPo baSi yeYe ni kIlazA wa MwisHo.
 
Back
Top Bottom