Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,506 Reaction score 7,445 Jun 14, 2012 #1 Mwanamke mmoja amefia gest mkoan singida..chini ya kitanda imekutwa mipira saba imetumika..na mipira minne haijatumika chini ya mto..mwanaume aliekua nae ametoweka source:clouds habar nilikua katika daladala..asubuhi Vox populi,Vox dei
Mwanamke mmoja amefia gest mkoan singida..chini ya kitanda imekutwa mipira saba imetumika..na mipira minne haijatumika chini ya mto..mwanaume aliekua nae ametoweka source:clouds habar nilikua katika daladala..asubuhi Vox populi,Vox dei
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,252 Jun 14, 2012 #2 Angalau alikuwa anaijari afya yake kwa kutumia condom. RIP dada yetu jamaa alikupania usikute ulimzungusha sana nawe
Angalau alikuwa anaijari afya yake kwa kutumia condom. RIP dada yetu jamaa alikupania usikute ulimzungusha sana nawe
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,073 May 15, 2014 #3 mmmmmmmhhhhhhhh hapana chezea dozi loooo lakin siku hizi wanaume ndio wanakufa