Mwanamke aambiwa na mumewe yuko kama mwanaume

Mwanamke aambiwa na mumewe yuko kama mwanaume

Ww ni mwanaume huna kauli za kike.... Mbona sentensi imejieleza tayar. Hajamtusi kuwa ana mwonekano wa kiume,ila katoa kasoro kuwa labda huyo mke anaingilia maamuzi ya mme hvo lazma ntakwambia una kauli za kiumeili ujirudi. Wanawake wa siku hz hawajui mda gani wanyamaze mda gani waingee yaani wao wanakuwa kama vile ndio wamekuoa kwmaba kila maamuzi lazma ayahoji au atoe yake na anataka yawe final
 
Always huwa nasema kuna maneno haifai kumwambia binadamu mwenzako. Anyway, vile imeshatokea kukushauri wewe ni ngumu, unless kama unajua nini exactly alifanya huyo mke mpaka ikamsababishia kuambiwa hiyo kauli then hapo mwanga utapatikana wa kuwashauri vizuri.
 
Wakuu habari za jioni,

Poleni na kazi za mchana kutwa,swala la dar kusimama kwa muda baada ya lowasa kwenda kuchukua fomu ya urais kwa ticket ya UKAWA.

Kunajambo moja naomba mnisaidie katika ndoa kuna mambo mengi,inabidi kuvumiliana tuu,kuna mwanaume mmoja kamwambia mke wake (wewe ni mwanaume,huna kauli za kike)wana watoto 2 hilo neno limemuuma sana huyu dada.

Naomba ushauri wenu

Mmmh, kazi ipo!!
 
kuna wanaume wana midomo michafu utadhani septic tank!dawa ya mwanaume namna hii ni kutomwonyesha kama imekuuma baasi,ukidharau maneno yake atajiona mjinga!aumie kimoyomoyo asijionyeshe! Mara nyingi wanaume wa hivyo ni wale ambao mke anamzidi mime mf kielimu,kipato nknk.

Na ndio maana huwezi pata ushauri wa ndoa kwa staili hii. Utakutana na maguberi yasiyojua ndoa ni nini. Endeleeni kulishana sumu
 
Kimsingi, kumfananisha mkeo na mwanaume, ni sawa na kusema una-taste kwa wanaume wenzio. So wrong on all accounts.
 
Mwambie akuonjeshe ili uthibitishe kama ni kweli aliyoambiwa na mumewe
 
Back
Top Bottom