Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
- Thread starter
- #41
Nyinyi wasabato huwa hamuendi kanisani.Mnakwenda kwenye mahekalu ya kiyahudi.Nilikuwa kanisani nimekuta humu upotoshaji mkubwa unaenezwa humu Jamvini huu ni uongo tu wa kutaka kuonewa huruma baada ya magaidi hao kufanya mauaji ya Oct 07,2023 sasa hivi magaidi hao na wafuasi wao wamepata kichaka ili wasipelekewe moto na majeshi ya Israel wanaweza mpaka picha za watu wenye Magofu wa ya Genetics ili tu kuuhadaa ulimwengu.
Picha kama hizi si za watu wenye njaa hawa/huyu ni mgonjwa kapachikwa kwa jina la kafa na njaa!!
Hiyo propaganda inaielewa peke yako na wenzako wachache.Walio wengi duniani wameshaujua ukweli