Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Kijana mwenye kipaji cha michezo aitwaye Abu Khater mwenye umri wa miaka 17 amefariki kwa kukosa kula chakula na kunywa maji kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa manesi wa magofu ya hospitali ya Ashifa ambako wagonjwa wanaendelea kupelekwa,kijana huyo alikuwa ni mnene mwenye uzito wa wastani wa kilo 75.Mpaka anapelekwa hospitali na wenzake alikuwa ameshuka uzito kufikia kilo 25 ambao ni uzito wa kawaida wa mvulana mwenye umri wa miaka 9.
Njaa inayoendelea kuwaua watu wa Gaza haitokani na ukame bali ni kuzuiliwa kulima na kujtafutia riziki zao na pia kutokana na kuzuiliwa kula na taifa la kiyahudi kwa ushirikiano na Marekani.
Kwa upande mwengine ni kushindwa kwa jumuia za kimataifa na ndugu wa wapalestina kulazimisha kuingiza chakula Gaza.
Huyo hapo chini ambaye kwa mifupa yake inaonekana alikuwa ni msichana mrembo naye anakufa kwa njaa.

Palestinian boy, 17, dies of Israel-induced starvation in Gaza