Mwanamichezo nyota wa Gaza afa kwa njaa

Mwanamichezo nyota wa Gaza afa kwa njaa

😭😭😭😭😭😭
Maisha haya,daah!
 
Mbona kwenye mahandaki ya Hamas pameja vyakula,magaidi wanakula mpaka wanasaza.Vyakula wanatoa wapi?
Unafikiri ni nani anayewapelekea hicho chakula ilhali kimezuiwa kuingia Gaza kwa miezi kadhaa sasa
 
Kijana mwenye kipaji cha michezo aitwaye Abu Khater mwenye umri wa miaka 17 amefariki kwa kukosa kula chakula na kunywa maji kwa muda mrefu.

Kwa mujibu wa manesi wa magofu ya hospitali ya Ashifa ambako wagonjwa wanaendelea kupelekwa,kijana huyo alikuwa ni mnene mwenye uzito wa wastani wa kilo 75.Mpaka anapelekwa hospitali na wenzake alikuwa ameshuka uzito kufikia kilo 25 ambao ni uzito wa kawaida wa mvulana mwenye umri wa miaka 9.

Njaa inayoendelea kuwaua watu wa Gaza haitokani na ukame bali ni kuzuiliwa kulima na kujtafutia riziki zao na pia kutokana na kuzuiliwa kula na taifa la kiyahudi kwa ushirikiano na Marekani.

Kwa upande mwengine ni kushindwa kwa jumuia za kimataifa na ndugu wa wapalestina kulazimisha kuingiza chakula Gaza.

Palestinian boy, 17, dies of Israel-induced starvation in Gaza​

View attachment 3429268

Huyo hapo chini ambaye kwa mifupa yake inaonekana alikuwa ni msichana mrembo naye anakufa kwa njaa.
View attachment 3429319
Propaganda za Hamas hizo picha za utapiamlo hata Tanzania zipo zimejaa wameanzisha ugomvi wameshindwa wanaanza kutafuta huruma msaidiwe, IDF shukilieni hapo hapo
 
Propaganda za Hamas hizo picha za utapiamlo hata Tanzania zipo zimejaa mmeanzisha ugomvi mmeshindwa mnaanza kutafuta huruma msaidiwe, IDF shukilieni hapo hapo
Hizo picha wala hazitolewi na Hamas.Ni vyombo vya habari vya dunia nzima vinashuhudia kinachoendelea Gaza.
 
Panya baada ya kutoka shimoni hawaonyeshi kabisa kama walikuwa wanakosa chakula
Screenshot_20250803-143800.jpg
 
Sifurahishwi na vita.
nje ya mada ,Nashangaaga sana wanene wanaotaka kupunguza uzito.
Wanavyohangaika na Jim.
Wakati dawa ya kupungua uzito ni njaa tu ama kuacha kula ..
Utapungua kadri utakavyo.
What comes around goes around.
Ulinenepa kwa kula utapungua kwa kuacha kula.
 
Nilikuwa kanisani nimekuta humu upotoshaji mkubwa unaenezwa humu Jamvini huu ni uongo tu wa kutaka kuonewa huruma baada ya magaidi hao kufanya mauaji ya Oct 07,2023 sasa hivi magaidi hao na wafuasi wao wamepata kichaka ili wasipelekewe moto na majeshi ya Israel wanaweza mpaka picha za watu wenye Magofu wa ya Genetics ili tu kuuhadaa ulimwengu.

Picha kama hizi si za watu wenye njaa hawa/huyu ni mgonjwa kapachikwa kwa jina la kafa na njaa!!
 
Kijana mwenye kipaji cha michezo aitwaye Abu Khater mwenye umri wa miaka 17 amefariki kwa kukosa kula chakula na kunywa maji kwa muda mrefu.

Kwa mujibu wa manesi wa magofu ya hospitali ya Ashifa ambako wagonjwa wanaendelea kupelekwa,kijana huyo alikuwa ni mnene mwenye uzito wa wastani wa kilo 75.Mpaka anapelekwa hospitali na wenzake alikuwa ameshuka uzito kufikia kilo 25 ambao ni uzito wa kawaida wa mvulana mwenye umri wa miaka 9.

Njaa inayoendelea kuwaua watu wa Gaza haitokani na ukame bali ni kuzuiliwa kulima na kujtafutia riziki zao na pia kutokana na kuzuiliwa kula na taifa la kiyahudi kwa ushirikiano na Marekani.

Kwa upande mwengine ni kushindwa kwa jumuia za kimataifa na ndugu wa wapalestina kulazimisha kuingiza chakula Gaza.

Palestinian boy, 17, dies of Israel-induced starvation in Gaza​

View attachment 3429268

Huyo hapo chini ambaye kwa mifupa yake inaonekana alikuwa ni msichana mrembo naye anakufa kwa njaa.
View attachment 3429319
Chanzo cha habari ni Aljazeera walioshiriki kikamilifu Oct07,2023 kwenye link wala si Mwanamichezo Nyota umetunga wewe tu hapa ili kutuzuga!!!

Habari za uongo kama hizi ndizo zinazoliharibu Jukwaa hili maana sasa limegeuka kama sehemu ya kueneza Propaganda za chuki tu dhidi ya Wayahudi hata hizo picha si watu walio na njaa hao ni Wagonjwa tu!!
 
Magaidi wa Hamas wanawatumia mateka kama dhamana ya wao kuendelea kuwepo, bila ya mateka hawawezi kukubaliwa kuwepo na hawajali kama wenzao wanakufa kila siku. Bure kabisa.
Israeli hajali kuhusu mateka wake
 
Kumbe al shabab ikivamia Tanzania basi tuna haki ya kuua raia wa Somalia!! Au wapi umesikia hao watoto ni Hamas?
Acha ujinga acha kukaririshwa na Wafuga Midevu na Majini wenzako!! Hao unaosema watoto wakati wakiuwawa wazazi wao kwa nini hawafi? Au wao mabomu ya Israel yanawakwepa? Acha kuwa zuzu wewe!!!

Oct 07,2023 magaidi wa Hamas waliua wanawake na watoto lakini wewe ulikuwa unashangilia tu cha ajabu leo hii wewe mwarabu-koko unaimba wimbo wa waarabu wa kisingizio watoto wanauliwa ili waonewe huruma!! Safari hii hakuna cha huruma ni kipigo tu!!!
 
Nilikuwa kanisani nimekuta humu upotoshaji mkubwa unaenezwa humu Jamvini huu ni uongo tu wa kutaka kuonewa huruma baada ya magaidi hao kufanya mauaji ya Oct 07,2023 sasa hivi magaidi hao na wafuasi wao wamepata kichaka ili wasipelekewe moto na majeshi ya Israel wanaweza mpaka picha za watu wenye Magofu wa ya Genetics ili tu kuuhadaa ulimwengu.

Picha kama hizi si za watu wenye njaa hawa/huyu ni mgonjwa kapachikwa kwa jina la kafa na njaa!!
Nyinyi wasabato huwa hamuendi kanisani.Mnakwenda kwenye mahekalu ya kiyahudi.
Hiyo propaganda inaielewa peke yako na wenzako wachache.Walio wengi duniani wameshaujua ukweli
 
Back
Top Bottom