Kijana mwenye kipaji cha michezo aitwaye Abu Khater mwenye umri wa miaka 17 amefariki kwa kukosa kula chakula na kunywa maji kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa manesi wa magofu ya hospitali ya Ashifa ambako wagonjwa wanaendelea kupelekwa,kijana huyo alikuwa ni mnene mwenye uzito wa wastani wa kilo 75.Mpaka anapelekwa hospitali na wenzake alikuwa ameshuka uzito kufikia kilo 25 ambao ni uzito wa kawaida wa mvulana mwenye umri wa miaka 9.
Njaa inayoendelea kuwaua watu wa Gaza haitokani na ukame bali ni kuzuiliwa kulima na kujtafutia riziki zao na pia kutokana na kuzuiliwa kula na taifa la kiyahudi kwa ushirikiano na Marekani.
Kwa upande mwengine ni kushindwa kwa jumuia za kimataifa na ndugu wa wapalestina kulazimisha kuingiza chakula Gaza.
Palestinian boy, 17, dies of Israel-induced starvation in Gaza
View attachment 3429268
Huyo hapo chini ambaye kwa mifupa yake inaonekana alikuwa ni msichana mrembo naye anakufa kwa njaa.
View attachment 3429319
Wafe tu SI walishangilia Hamas walipofanya mauaji Israel.Kijana mwenye kipaji cha michezo aitwaye Abu Khater mwenye umri wa miaka 17 amefariki kwa kukosa kula chakula na kunywa maji kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa manesi wa magofu ya hospitali ya Ashifa ambako wagonjwa wanaendelea kupelekwa,kijana huyo alikuwa ni mnene mwenye uzito wa wastani wa kilo 75.Mpaka anapelekwa hospitali na wenzake alikuwa ameshuka uzito kufikia kilo 25 ambao ni uzito wa kawaida wa mvulana mwenye umri wa miaka 9.
Njaa inayoendelea kuwaua watu wa Gaza haitokani na ukame bali ni kuzuiliwa kulima na kujtafutia riziki zao na pia kutokana na kuzuiliwa kula na taifa la kiyahudi kwa ushirikiano na Marekani.
Kwa upande mwengine ni kushindwa kwa jumuia za kimataifa na ndugu wa wapalestina kulazimisha kuingiza chakula Gaza.
Palestinian boy, 17, dies of Israel-induced starvation in Gaza
View attachment 3429268
Huyo hapo chini ambaye kwa mifupa yake inaonekana alikuwa ni msichana mrembo naye anakufa kwa njaa.
View attachment 3429319
Lazima wewe ni binadam mwenye roho ya mnyama, usiye na chembe ya huruma,, ila jifunze kua na huruma na binadam wenzako japo kidogoWakome kupenda vita wasiyo iweza
Wote ni binaadam utofauti ni langi na lugha kama wewe una habari ya kutujuza leta tuchangieMbona hapo Sudan na Congo hayo ni kawaida sana,kwamba huyo au hao wapalestina ni special sana? Naona comments za huruma huruma wakati hata huku kwetu Africa mambo ni hayo hayo tu, tupunguze unafiki
I don't like lies , IDF aue vitoto vichaa? Najua vitani ukizidiwa nguvu unatumia maneno ila hutakiwi kuzidisha chumvi kwenye msosi maana hutoweza kuula, kampeni za waarabu ni kubwa hadi zinatisha as long Allah karuhusu kudanganya during War iila wamepitiliza uongo yaani kila Death ni Israel but wanapata kila kitu kama walivyozoea Dezo, mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuwaamini Waislam kwa news zao, Gaza hakuna njaa wagonjwa nao wanaingizwa kwenye list ya vifo vya kampeni ya vitaSidhani kwamba alikuwepo.Sijui kwanini anauliwa kwa njaa pamoja na vitoto vichanga.
Mtu wa aina yako si rahisi kukubadilisha kwani moyo wako una kutu.I don't like lies , IDF aue vitoto vichaa? Najua vitani ukizidiwa nguvu unatumia maneno ila hutakiwi kuzidisha chumvi kwenye msosi maana hutoweza kuula, kampeni za waarabu ni kubwa hadi zinatisha as long Allah karuhusu kudanganya during War iila wamepitiliza uongo yaani kila Death ni Israel but wanapata kila kitu kama walivyozoea Dezo, mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuwaamini Waislam kwa news zao, Gaza hakuna njaa wagonjwa nao wanaingizwa kwenye list ya vifo vya kampeni ya vita
Kupitia vita hi, viongozi wa Hamas wanatajirika sana, wale viongozi wao walio uawa wote walikua ni mabilionea, binti wa Yasser Arafat nae is one of the big billionaire so wananchi wanatumika kama shield tu na sie wavivu wa kufikiri tunalaumu Israel while Hamas wanapenda vita iendelee. Jiulize, kuna ugumu gani wa kuwaachilia mateka? Or why walikwenda kuua watu wa mataifa tofauti tofauti ile October 07? Unafahamu huyu humuwezi, why unamchokoza while unajua yeye ni kichaa?Waachieni hao mayahudi,mnaumizana wenyewe