Mwanamapinduzi wa nini huyu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamapinduzi wa nini huyu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by masuka77, Sep 18, 2011.

 1. m

  masuka77 New Member

  #1
  Sep 18, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JAMANI TANGU NIANZE KUONA NA KUSIKIA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI, HUYU JAMAA MWISHO WA MAMBO, KWANZA NILISHUDIA UZINDUZI WA ALBUM YAKE DIOMOND JUBILEE MPAKA SAA TISA UKUMBI ULIKUWA UMEJAA KABISA MPAKA MWAISHO NA WATU WENGINE WALIOKUWEA WAMEKATA TIKETI KUKOSA HATA MAHALI PA KUINGILIA ILIBIDI WABAKI NJE HUKU WAKISIKILIZA SAUTI TU. PILI VAA YAKE NAVAA KIJESHI KABISA NA WIMBO WAKE WA BONDE LA KUKATA MANENO ANATAJA NENO 'MAJESHI MAJESHI' NA ANAPENDWA SANA NA WANASIASA. MFANO AMEIMBA NA VICKY KAMATA (MB) NA AMEIGIZA KAMA MFALME NA MH.VICKY NAPIGA MAGOTI NA KUOMBA MSAMAHA MBELE YAKE. NAOMBA MNISAIDIE KAMA KUNA MTU ANAYEMFAHAMU ASIJE KUWA NDIYO MFUMBUZI WA TANZANIA YETU, KAMA YUKO SAWA [​IMG]TUMUUNGE MKONO KAMA HAYUKO SAWA ATULIZWE.[​IMG]
   
 2. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  anaitwa nani?
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Watu wengine wanaandika habari as if watu wote wanafahamu anachozungumzia. Funguka watu wakuelewe!
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nadhani hii habari umetuletea ukiwa nafuraha sana mwisho wa siku ukajikuta umepost kumbe ni upupu...............hbu ipreview mana haina OBJECTIVE
   
 5. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Duh, hapo vumbi tupu!
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Au unamsifia kianja??
  Mwimba kwaya tangu lini akawa mwanamapinduzi hapohapo?
  Angekua mwanasiasa angalau tungemuelewa
   
 7. m

  masuka77 New Member

  #7
  Sep 19, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  wakuu ninachojua ni mwimbaji,mashaka yangu ni kuwa, asijekuwa amevaa ngozi ya kondoo kumbe mbwa mwitu na ikawa mbinu mpya ya chama cha mapinduzi kama ccj.naomba habari zake zaidi kwa mtu anayemfahamu.Nimemsitukia wakuu.
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Sep 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Sijakusoma unamuongelea nani? Weka jina lake na ikiwezekana weka picha kabisa.
   
Loading...