Mwanamama afanya kweli!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,498
40,046
Liberia police arrest ex-leader (BBC)

Gyude Bryant took over from Charles Taylor in 2003
Liberia's ex-President Gyude Bryant has been arrested over charges that he embezzled some $1m while in office.
Police detained him after he failed to appear in court to answer the charges.

Mr Bryant, who headed the country during a transitional phase after the end of the 14-year civil war in 2003, was charged in February.

He denies the charges. As he was being taken to the main prison, he said that he was being rewarded with detention for restoring peace and democracy.

President Ellen Johnson-Sirleaf took office last year after winning elections on a pledge to fight graft.

Mr Bryant was originally charged after an audit by the West African regional body, Ecowas, uncovered evidence of corruption during his two years in office ending in 2006.

He had been free on bail.

"This is a very, very, very dark day for Liberia. This is the reward we get for restoring peace and democracy to our country," Mr Bryant, dressed in a white shirt and olive-coloured trousers, told reporters as he was led into the prison compound.

His power-sharing government took over after Charles Taylor stepped down, with rebel forces on the outskirts of the capital, Monrovia.

Mr Taylor is now facing war crimes charges.
 
Liberia police arrest ex-leader (BBC)

Gyude Bryant took over from Charles Taylor in 2003
Liberia's ex-President Gyude Bryant has been arrested over charges that he embezzled some $1m while in office.
Police detained him after he failed to appear in court to answer the charges. Mr Bryant, who headed the country during a transitional phase after the end of the 14-year civil war in 2003, was charged in February. He denies the charges.

As he was being taken to the main prison, he said that he was being rewarded with detention for restoring peace and democracy.
President Ellen Johnson-Sirleaf took office last year after winning elections on a pledge to fight graft. Mr Bryant was originally charged after an audit by the West African regional body, Ecowas, uncovered evidence of corruption during his two years in office ending in 2006.

Saafi sana, maana hii ndio hasa the respect kwa the rule of law, huku kwetu we can only hold our hopes kuwa one day tutafikia haya ya mwanamama, asiyetaka mchezo, no wonder huko Liberia tayari wameanza kuwa-stable politically, mana huyu mama anoneklana kuwa kichwa safi.

Unajua the point hapa ni kwamba hata huyu mkuu asipofungwa, lakini the fact kwamba amefikishwa kwenye mkono wa sheria tu inatosha, sio mambo ya immunity nonesense!
 
Liberia police arrest ex-leader (BBC)

Gyude Bryant took over from Charles Taylor in 2003
Liberia's ex-President Gyude Bryant has been arrested over charges that he embezzled some $1m while in office.
Police detained him after he failed to appear in court to answer the charges.

Mr Bryant, who headed the country during a transitional phase after the end of the 14-year civil war in 2003, was charged in February.

He denies the charges. As he was being taken to the main prison, he said that he was being rewarded with detention for restoring peace and democracy.

President Ellen Johnson-Sirleaf took office last year after winning elections on a pledge to fight graft.

Mr Bryant was originally charged after an audit by the West African regional body, Ecowas, uncovered evidence of corruption during his two years in office ending in 2006.

He had been free on bail.

"This is a very, very, very dark day for Liberia. This is the reward we get for restoring peace and democracy to our country," Mr Bryant, dressed in a white shirt and olive-coloured trousers, told reporters as he was led into the prison compound.

His power-sharing government took over after Charles Taylor stepped down, with rebel forces on the outskirts of the capital, Monrovia.

Mr Taylor is now facing war crimes charges.

Yaani yeye alikula pesa ya walipa kodi kwa sababu ya tumbo lake then anakuja kulalamika ni sad day. Alipewa dhamana akaamua kuweka tumboni na sasa itabidi ajieleze. Ni sawa kabisa na akina Karamagi kufutafuta mikataba na kuingia mikataba mibovu halafu wanalialia. BWM (Che Nkapa) lazima naye ashughulikiwe kwani maovu yake yanaonekana kuanzia kufanya biashara Ikulu pamoja na Coal ya Kiwira bila kumsahau EL aliyelitia hasara taifa kwenye Richimonduli bila kusahau kodi anazoshindwa kulipa kwenye biashara zake. Na kabla ya kusahau wale wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine kutafuna pesa pale BOT.

Mkongwe mwingine wa kusafishwa ni B. Mramba ambaye imegundulika alitoa msamaha wa kodi ya mafuta wa milele kwa kampuni ya kuchimba madini. Hivi kweli hawa tunahitaji hata ushahidi wa mahakama tena? Maana mambo mengi maovu yako nje nje tu. Bila kumsahau fisadi RA ambaye anafikiri ana pesa kama njugu za kuwanunua waandishi wa habari.

JK aendelee kusuasua tu maana akiteleza tu yatamkuta yeye mwenyewe binafsi. Urais una kikomo sasa analo rungu lakini litapewa mwingine hivi karibuni na WTZ hivi leo hatuwezi kusahau dhuluma wanayoiendeleza.
 
Hili ni "ONYO" kwa akina BPMramb, EL, NKaram, BWM na wengine kuwa siku isiyo na jina itafika....JK anawaogopa lakini itafika siku ambayo atatokea mtanzania mzalendo ambaye hatawaonea aibu.
 
Hili ni "ONYO" kwa akina BPMramb, EL, NKaram, BWM na wengine kuwa siku isiyo na jina itafika....JK anawaogopa lakini itafika siku ambayo atatokea mtanzania mzalendo ambaye hatawaonea aibu.

Mkuu the day is coming, tena ninaamini sio mbali sana, mana very soon viongozi wetu watamaliza kila kitu, kutakuwa hakuna cha kuiba tena, ndipo common sense itakapofanya kazi!
 
...the day is coming, tena ninaamini sio mbali sana, mana very soon viongozi wetu watamaliza kila kitu, kutakuwa hakuna cha kuiba tena, ndipo common sense itakapofanya kazi!

Mkuu FMES
Mimi nina imani haba sana kama siku hiyo nitaiona, kuwaona akina Mramba, Karamagi, na BWM wakiwa ndani ya pingu. Ila natamani sana itokee hivyo soon. Inshallah. Mawazo ya ukomunisti ndani ya vichwa vya watanzania wengi ndiyo hasa yananikatisha tamaa.

Ila sasa wakimaliza kuiba kila kitu, nchi itakalika?
 
Hili ni "ONYO" kwa akina BPMramb, EL, NKaram, BWM na wengine kuwa siku isiyo na jina itafika....JK anawaogopa lakini itafika siku ambayo atatokea mtanzania mzalendo ambaye hatawaonea aibu.

Mkuu the day is coming, tena ninaamini sio mbali sana, mana very soon viongozi wetu watamaliza kila kitu, kutakuwa hakuna cha kuiba tena, ndipo common sense itakapofanya kazi!

Soon and very soon.......
 
Field Marshall ES;108174 Mkuu the day is coming said:
viongozi wetu watamaliza kila kitu, kutakuwa hakuna cha kuiba tena,[/SIZE] ndipo common sense itakapofanya kazi!

kumaliza uza/iba wameishamaliza!, kwani madini mikataba ya miaka 50, mashirika yote myaka zaidi ya 20, sasa na hayo makambi ya jeshi yanakuja, si ndo bac!, yanapogunduliwa machimbo mapya na walala hoi serikali haiwasaidii, inaishia na matamko ya kuyafunga, kusubiri wachukuaji kwa nembo ya uwekezaji wawakabidhi kwa myaka 50, tena hata mafuta wanayo tumia kuchimba hayatozwi hata senti!,

Ndo Tz imeisha hivo.. labda tusubili neema ya Mungu!
 
Hili ni "ONYO" kwa akina BPMramb, EL, NKaram, BWM na wengine kuwa siku isiyo na jina itafika....JK anawaogopa lakini itafika siku ambayo atatokea mtanzania mzalendo ambaye hatawaonea aibu.

Mkuu the day is coming, tena ninaamini sio mbali sana, mana very soon viongozi wetu watamaliza kila kitu, kutakuwa hakuna cha kuiba tena, ndipo common sense itakapofanya kazi!

Mkuu I always enjoy your contributions when you are on the other side of the coin. Thanks...:)
 
In Tanzania that is a day dream.Unless we remove this sick,rotten and corrupt system(CCM)
 
Back
Top Bottom