zomba, ushahidi tosha wa kuwa padre huyu kauwawa na waislam upo katika clip ya Ustaadhi Ilunga alipokuwa akizungumzia mauaji ya Sheikh Rogo wa Mombasa. Kwa maneno yake mwenyewe anawaambia waislamu kuwa akiuwawa Sheikh mmoja wamwue askofu, au kadinali au mlei mmoja. Na aliwaambia waanze mana hata sheikh ponda atauliwa siku za karibuni! Ajabu ni kwamba Ustaadh Ilunga hadi sasa anatanua mitaani. Ushahidi wa pili ni ukweli kwamba waliomwua huyu Padre ndio wale wale waliompiga risasi Padre Ambrose! Kwa stail ile ile. Maana yake wanafadhiliwa na viongozi wa kiislamu na kukingwa na mkono wa dola ulioko chini ya waislamu. Ajabu, ama kwa makusudi, au kwa kukosa elimu, waislam hao hao wamekuwa wakilia na mfumo Kristo, ambao unaongozwa na waislamu! Na huwa nashangaa sana huyu mungu wa waislamu anayetetewa na watu namna hii! Amekuwa dhaifu kiasi hicho?
Wewe unaita 'ku tame' christians
wakati hata waislam wanapopigana,mfano kesi za viwanja za BAKWATA'
wenye busara husema haya haya....
watu wajiepushe na kukimbilia viongozi wao wa dini na kuwachukulia wote wasio wa dini zao ni maadui...
police case ibaki police case,wote tushirikiane 'wahalifu' washughulikiwe'
Kwanza hawa wanasiasa hasa wa CCM ndio wanaootesha hizi mbegu za udini wakitegemea kujiimarisha kisiasa.Unakuta jambo baya limefanywa na mtu au kikundi (liwe la kisiasa au kijamii), Badala ya kulitatua kwanza kama dola, tena kwa busara..wanaanza kuhoji kwamba hawa watakuwa ni CUF au CHADEMA.The way they handle this matter create more problems.
nARUDIA KUSEMA TENA SERIKALI HII YA CCM ndiyo inayotengeneza na kupromoti UDINI, UKANDA, UKABILA.Halafu cha ajabu wanataka viongozi wa dini wawasaidie,wakipita kwenye kampeni wanawatumia pia viongozi wa kimila kwenye kampeni zao.
Hayo ni yako wewe, unaweza kuwa hata wewe umemuuwa, pengine alikuwa akiifanya ile kazi maarufu ya wachungaji na sasa unajidai Sheikh Ilunga.
Ooh, kumbe kuna Masheikh waliuliwa Mombasa? Na nani? Na wewe ulikemea au ulifurahia?
Watuw engi wanafikiri -kwa kusoma vibaya theolojia - Yesu alikuwa anapenda watu wadhulumiwe au wafanywe duni. Mgongano wake na watawala wa zama zake (viongozi wa serikali na wale wa kidini) ulitokana na yeye kutovumilia dhulma. Au ukandamizaji. Jinsi ambavyo aliwtetea maskini (mama mjane) na hata matajiri (Zakayo) kulitokana na yeye kutambua kuwa wote ni wana wa Mungu.
Lakini kuna vitu ambavyo hakuweza kuvivumilia kwa kuitisha vikao, kutoa matamko ya kubembeleza. Mojawapo ni ni lile la kuingia Hekaluni. Alipokuta watu wamegeuza hekalu kuwa soko hakuitisha kikao, wala kuhubiri.. alifanya hivyo huku akiwatimua watu hekaluni na hivyo kuwaudhi watawala na kuchochea hasira dhidi yake.
Askofu Mkuu Pengo NI LAZIMA atoe kauli iliyo wazi dhidi ya utawala wa CCM na jinsi walivyofikisha taifa hapa. Haya ya kuremburiana na watawala na kujifunika kitanda kimoja nao ndio yamelifikisha taifa hapa.
Unajua nimerudi na kusoma nilichoandika na kukuta hakuna cha kubadilisha. Sijui ni kwanini baadhi ya watu wamefikiria nimesema aitishe kisasi! Na inaonekana watu wengi ambao wanakuja juu hawajasoma kwanini nimemtaja Oscar Romero.. wangechukua muda wangeona kuwa hii si mara ya kwanza kwa mimi kuitisha wachungaji/mapadre kufuata nyayo za Oscar Romero badala ya kukaa na kuenjoy sadaka za waumini na kulala kitanda kimoja na watawala...
Hayawezi kuwa yangu! Ni ya Ustaadhi Ilunga and Co! Ukiniuliza nani aliyemwua sheikh wa Kenya u r just missing the point. Upinga kwamba Ustaadhi Ilunga hajasema hayo? Unabisha kwamba magaidi wa kiislamu waliofadhiliwa na uislamu hawajafanya mauaji hayo? Sheikh wa Kenya aliyeuawa alikuwa akiwaita Al Shabab ndugu na marafiki zake. Huyo anatetewa na masheikh wa kitanzania. What logic can be derived from there? Mwenye akili na afahamu. And by the way, kama kwa nadharia yako Padri Mushi anaweza kuuliwa na mtu yeyote, basi hatuwezi kurule out kuwa ameuwawa na magaidi wa kiislamu
zomba, ushahidi tosha wa kuwa padre huyu kauwawa na waislam upo katika clip ya Ustaadhi Ilunga alipokuwa akizungumzia mauaji ya Sheikh Rogo wa Mombasa. Kwa maneno yake mwenyewe anawaambia waislamu kuwa akiuwawa Sheikh mmoja wamwue askofu, au kadinali au mlei mmoja. Na aliwaambia waanze mana hata sheikh ponda atauliwa siku za karibuni! Ajabu ni kwamba Ustaadh Ilunga hadi sasa anatanua mitaani. Ushahidi wa pili ni ukweli kwamba waliomwua huyu Padre ndio wale wale waliompiga risasi Padre Ambrose! Kwa stail ile ile. Maana yake wanafadhiliwa na viongozi wa kiislamu na kukingwa na mkono wa dola ulioko chini ya waislamu. Ajabu, ama kwa makusudi, au kwa kukosa elimu, waislam hao hao wamekuwa wakilia na mfumo Kristo, ambao unaongozwa na waislamu! Na huwa nashangaa sana huyu mungu wa waislamu anayetetewa na watu namna hii! Amekuwa dhaifu kiasi hicho?
Mkuu unaposema serikali ni dhaifu lakini hutaki iambiwe lolote una maana gani?Naona huoni jinsi ulivyo 'blind' hapa.....
'UNABII' wa Pengo na Romero ni unabii wa kwa waumini tu kama wewe
sio watanzania wote wanao muona Pengo au hata huyo Romero kwa jicho hilo unalo waona wewe
lakini Watanzania hao wakawa 'wanakerwa kutoka moyoni' na mauaji ya Padri na vurugu za kidini nchini...
Pengo ni 'the wrong guy' kusuluhisha tatizo hili
unless useme hautaki aingilie kati kusuluhisha?
Hapa ishu ni Watanzania ambao sio wakatoliki na sio wadini unawaweka wapi ukianza kumuomba Pengo aingilie kati?
Mkuu unaposema serikali ni dhaifu lakini hutaki iambiwe lolote una maana gani?
Unafahamu kuwa serikali imelalamikiwa kwa udini uliopo,ukasema ama kukiri kuwa serikali ni dhaifu,lakini hapo hapo hutaki waambiwe kuhusu udhaifu huo maana itakuwa ni udini kama wakiambiwa.
Halafu pia serikali hii dhaifu isipochukuwa hatua yoyote ile mnaisapoti na kusema "waliofanya hayo ni wahuni" na wala si waislam,hivyo serikali dhaifu iko makini.
Sasa hapo ndipo naposhindwa kukuelewa.
Ni kweli mkuu Boss inawezekana mmoja wetu hajaelewa something.Mkuu Jmushi
naona hujanielewa kabisaa
Sijasema serikali isiambiwe
nimesema msuluhishi hawezi kuwa kiongozi wa dini moja
Hivi ukiongea uongo na kujenga fitina itakusaidia nini? kwa nini unapotosha aliyosema Ilunga? mimi hiyo clip nimeiona mwanzo mpaka mwisho hakuna mahala amesema hayo! alichowaambia waislamu wa Mombasa ni kwamba hawana haja ya kuchoma matairi na kufanya maandamano au fujo pindi akiuliwa Shekh! badala yake nao wamuue Kiongozi yoyote ili Serikali nayo iache kuua Mashehe! jino kwa jino!
Sasa hapa TZ ni shehe gani aliyeuwawa ili kuhalalisha mauaji ya Mapadri na Wachungaji? naishauri Serikali kutumia busara kubwa ili iweze kutatua fitina hii inayopandikizwa nchini kwa hivi sasa!
Iraki na Congo(Zaire) kuna vita vinaendelea huko lakini Marekani na Washirika wake wanaendelea kujichotea mafuta na shahabu! TZ tuna mafuta na gesi sasa tusije ingia mtego walioingia wenzetu tukaanza kuchinjana Muislamu na Mkristo halafu wao wachote tu!