TANZIA MwanaJF mwenzetu Ramaa Tech afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Boda boda jamani nikaburi linalotembea mda wowote la meza mtu tangu ziruhusiwe kama njia ya usafiri kwa umma vimetokea vifo vingi mno na watu kuumizwa vibaya na kubaki vilema maisha pikipiki zinazo kuja Africa ndo zinazo uzwa na ulaya? Sielewi kwa kweli
 
Bro kuwa serious basi, Rama week iliyopita alikua iringa akifanya kazi ya bank moja na akanifanyia kazi yangu.
Ngoja nmpigie nihakikishe
Exactrly kweli unamfaham. Last week alikua kwenye project zake Iringa. Serious bro. Huwez amini ila ndio ivyo anategemewa huzikwa leo saa nne asbh nyumbani Kwao Kilwa.
 
Back
Top Bottom