TANZIA MwanaJF mwenzetu Ramaa Tech afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

nelvine

JF-Expert Member
Nov 8, 2015
794
1,000
Exactrly kweli unamfaham. Last week alikua kwenye project zake Iringa. Serious bro. Huwez amini ila ndio ivyo anategemewa huzikwa leo saa nne asbh nyumbani Kwao Kilwa.
Hakika tunatembea na kifo. Jamaa alikua hana makuu na mtu. Pumzika kwa amani rama.
 

walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
4,164
2,000
Habari wana jukwaa. Nasikitika kutangaza kifo cha member mwenzetu kwa jina Ramaa Tech. Kijana aliyekuwa anajishughulisha na mambo ya graphics designing amefarika jana kwa ajali ya pikipiki.

Niliongea nae saa 15:00 saa 18 napata taarifa kuwa amefariki kijana alikua anajituma sana katika shughuli zake hizo. Lakini all in all kazi yake mola haina makosa. Chini ni baadhi ya kazi zake alizowahi kuzifanya wakati wa uhai wake.RIP, vp mkuu alikuwa yeye ndio dereva au alikuwa kama abiria embu weka ufafanuzi kidogo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Simon Martha Mkina

Investigative Journalist
Sep 5, 2020
17
75
Habari wana jukwaa. Nasikitika kutangaza kifo cha member mwenzetu kwa jina Ramaa Tech. Kijana aliyekuwa anajishughulisha na mambo ya graphics designing amefarika jana kwa ajali ya pikipiki.

Niliongea nae saa 15:00 saa 18 napata taarifa kuwa amefariki kijana alikua anajituma sana katika shughuli zake hizo. Lakini all in all kazi yake mola haina makosa. Chini ni baadhi ya kazi zake alizowahi kuzifanya wakati wa uhai wake.Pole sana kwa wanafamilia wa JF, ndugu na jamaa. Alale vyema RT
 

pangakali 2

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
209
250
R.i.p kamanda,.najiuliza hv leo hii nikifa mimi nitatangazwa kweli? Au ili nije nitangazwe nifanyeje?
Kama kuna mtu una connection nae au mnafahamiana (mtu wa watu) ni rahisi kutangazwa ila kama unaishi yale maisha ya man alone. Hapo sidhan
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom