Gomez Luna
Senior Member
- Mar 13, 2017
- 187
- 205
Kama hao Russian insider Duh wanaponda West Sputnik wenyewe hawaingii ndani.kusoma media za urusi na china peke yake ni kupotoka coz na wao wanaandika habari zenye interest na mataifa yao.....yaani ww uende kusoma sputnik ama interfax na russian insider habari ya marekan au ujeruman hutokuta positive hata moja hata usome miaka kumi...hizo russian today na zinginezo zilianzishwa mahususi kueneza ushwaish wa russia dubian kama zilivyo kina BBC so kama ww unasoma hizo basi utakua na mawazo ya upande mmoja kijana, soma za east na za west af bongo yako itachanganua