Mwanajeshi wa Korea Kaskazini ahamia K. Kusini kwa kuogelea

Hahah huyo jamaa sidhani kama korodani zake zipo salama sasa...
 
Wewe hujui kitu. kama kuna udhalimu utaje hapa tuufahamu
Unajua kma Korea Kaskazini haziruhusu imani za kidini iwe Ukristo au Uislamu na hawaruhusiwi kuingia raia ambao wamefungamana na nchi za Marekani na Uingereza na Ufaransa na Ujerumani na nchi za Afrika
 
Umewahi kusikia kma Korea Kaskazini raia wake hawaruhusiwi kunyoa ile staili ambayo ananyoa rais
 
Unajua kma Korea Kaskazini ni nchi ya chama kimoja pekee
Unajua kama Korea Kaskazini huruhusiwi kumiliki gari kma sio mfanyakazi wa serikali ya kikomunisti
Hayo yote ni utaratibu tu waliojiwekea. sawa tu na utaratibu waliowekewa watz kuwa hakuma kuandamana au kufanya mikutano ya kisiasa.

Unajua kunyoa kwa staili? Wananchi wa korea kaskazini wana uhuru wa kunyoa nywele zao, lakini kuna staili ya kunyoa hairuhusiwi. huu ni utaratibiu mzuri waliojiwekea ili kulinda hashima na maadili miongoni mwa raia. Hata tz kwa miaka ya nyuma kuna baathi ya sehemu ilikuwa huruhusiwi kuonekana umenyoa mitindo flani , hasa panki.

korea kaskazini watu wana dini zao. ile sio nchi ya kidini kiasi kwamba ianze kutangaza au kupromote dini flani kama zilivyo Saudi Arabia au Sudani. Korea kaskazini wanaingia raia wa nchi yeyote ile, ilimradi tu ufuate utaratibu. Je, hao wamarekani wanaokamatwa na kushikiliwa KK kwa tuhuma za ujasusi waliingiaje? Je, vp kuhusu watalii wanaoingia KK kutoka nchi za magharibi? Ni vip kuhusi waafrika wanaosoma korea kaskazini?

Korea kaskazini ina mfumo wa chama kimoja, sawa tu na nchi kama china, cuba, na baadhi ya nchi zingine. Hii inatokana na mfumo wao wa siasa za kikomunist. Tena ni bora hao walio wazi, kuwa na chama kimoja kuliko nchi kama tz vyama kalibia elfu moja lakini chama kinachotawala na kuamua kila kitu.

Magari yapo mengi tu KK na watu wanamiliki. Siasa za kikomunist huzielewi. Mtu akitaka kumiliki mali kama gari inampasa kuwa na kibali toka serikalini. hii ni kuhakikisha kuwa hakuna ubadhilifu nchini sababa kama mali haijulikani umeipata kwa namna gani itakuwia vigumu kupata kibali. Ni sera nzuri, si kama nchi za kiafrika watu wanaiba wanajilimbikizia mali za kila aina pasipo hata kuulizwa swali, wengine unakuta ni viongozi wa umma.
 
Siku zote mji mkuu unafaa kuwa katikati mwa nchi, ni kama tu hapo Bongo mumegoma kwenda Dodoma halafu mnategemea Dar ambayo ipo kwenye fukwe, siku mtaleta za kuleta kwa wazungu hapo nyambizi moja imetosha kuwatesa.
Unazani kuhamia dodoma imetuokoa na kipigo?...kuna pini inaweza rushwa toka bahari ya hindi mpaka 1,500s kms kigoma- uvinza huko!!...
 
Sisi watanzania ni wajuaji sana kwa masuala ya NorthKorea
Russia na Marekani
Ila maswala ya sniper wa kibiti hatujui kitu
 
Hayo yote ni utaratibu tu waliojiwekea. sawa tu na utaratibu waliowekewa watz kuwa hakuma kuandamana au kufanya mikutano ya kisiasa.

Unajua kunyoa kwa staili? Wananchi wa korea kaskazini wana uhuru wa kunyoa nywele zao, lakini kuna staili ya kunyoa hairuhusiwi. huu ni utaratibiu mzuri waliojiwekea ili kulinda hashima na maadili miongoni mwa raia. Hata tz kwa miaka ya nyuma kuna baathi ya sehemu ilikuwa huruhusiwi kuonekana umenyoa mitindo flani , hasa panki.

korea kaskazini watu wana dini zao. ile sio nchi ya kidini kiasi kwamba ianze kutangaza au kupromote dini flani kama zilivyo Saudi Arabia au Sudani. Korea kaskazini wanaingia raia wa nchi yeyote ile, ilimradi tu ufuate utaratibu. Je, hao wamarekani wanaokamatwa na kushikiliwa KK kwa tuhuma za ujasusi waliingiaje? Je, vp kuhusu watalii wanaoingia KK kutoka nchi za magharibi? Ni vip kuhusi waafrika wanaosoma korea kaskazini?

Korea kaskazini ina mfumo wa chama kimoja, sawa tu na nchi kama china, cuba, na baadhi ya nchi zingine. Hii inatokana na mfumo wao wa siasa za kikomunist. Tena ni bora hao walio wazi, kuwa na chama kimoja kuliko nchi kama tz vyama kalibia elfu moja lakini chama kinachotawala na kuamua kila kitu.

Magari yapo mengi tu KK na watu wanamiliki. Siasa za kikomunist huzielewi. Mtu akitaka kumiliki mali kama gari inampasa kuwa na kibali toka serikalini. hii ni kuhakikisha kuwa hakuna ubadhilifu nchini sababa kama mali haijulikani umeipata kwa namna gani itakuwia vigumu kupata kibali. Ni sera nzuri, si kama nchi za kiafrika watu wanaiba wanajilimbikizia mali za kila aina pasipo hata kuulizwa swali, wengine unakuta ni viongozi wa umma.
Hakuna mahali katika Dunia kuliwahi kuwa na usawa, si Ukomunisti au Ubepari. Tena afadhali Ubepari, unakula KWA urefu wa kamba yako.

Hizo rushwa na ubadhirifu zipo hata katika huo Ukomunisti, ni Bahati mbaya sana katika Ukomunisti inatakiwa uishi katika viwango vya juu vya unafiki iwe kwa mwizi mwenye madaraka au raia wa kawaida.

Hebu weka katika mizania. Kati ya Raia wa Korea Kaskazini na kusini ni wepi wana hali bora ya maisha?
 
UNATAKA TUAMBIWE TUNATOA TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA
Ile mindege yetu ina kelele na sura mbaya sana
Watu wananunua ndege kutoka urusi sisi twaenda nunua kopi ya mrusi kutoka china
bora warusi wao huwa wanazitoa kuwalingishia wamarekani na kuwapa kiburi wale pro russians
 
Back
Top Bottom