Japan: Korea Kaskazini imerusha kinachoonekana kuwa ni kombora

HERY HERNHO

Member
Mar 4, 2022
70
313
Wizara ya Ulinzi ya Japani imesema Korea Kaskazini imerusha kile kinachoonekana kuwa ni kombora.

Kikosi cha Ulinzi wa Pwani cha Japani kimeinukuu Wizara wa Ulinzi wa Japani ikisema kwamba kifaa hicho ni dhahiri kimetua.

Na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Korea Kusini ametangaza mnamo saa 5:09 leo Jumapili asubuhi kwa saa za nchi hiyo kuwa Korea Kaskazini imerusha kombora kuelekea Bahari ya Japani.
 
Kiduku hana jipya,kama kidume arushe hata mikojo hapo japani aone.Kiufupi wamempuuzilia mbali.
 
Back
Top Bottom