Jeshini unafanya kazi yoyote utakayopangiwa, unaweza usiziguse hizo computer
Jeshini unafanya kazi yoyote utakayopangiwa, unaweza usiziguse hizo computer
hahhaah maslahi mapana ya taifa... haya maneno ya wanasiasa huwa yanachekesha sanaLa mgambo linapolia wote usawa wa kamba!. Jeshini ni sehemu yenye nidhamu kuliko zote nyumbani. Unatakiwa kufanya kazi yoyote unayopangiwa na hutakiwi kuhoji. Unaweza kuwa IT specialist ndiyo lakini boss wako akaona kwa maslahi mapana ya taifa unatakiwa kwenda kulinda mpaka.
unataka uende, umeshapata nafasi ya kwenda huko?
Unataka kwenda lini?Sijapata bado
Achana na jeshi tafuta kazi nyingine kule utajila tuHapana sijapata bado