Mwanajeshi, Mwanajeshi

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
Kuna jamaa mmoja ambaye ni SHOGA alienda kwenye sherehe za nane nane basi kutokana na msongamano wa watu akamkanyaga mwanajeshi mmoja kwa bahati mbaya, basi yule mwanajeshi akamwambia "wewe SHOGA uwe unaangalia chini ukitembea siyo unakanyaga kanyaga watu hapa au upo kazini nini?"
Basi yule shoga akamuona polisi anakuja, akaamua kumshitaki yule mwanajeshi, na maongezi yake na polisi yakawa kama ifuatavyo;

SHOGA: Afande huyu mwanajeshi kanitukania kazi yangu.

POLISI: Sasa wewe unataka tumchukulie hatua gani?

SHOGA: Mi nataka uniruhusu nimrudishie na yeye.

POLISI: Haya mrudishie

SHOGA: (huku akimnyooshea kidole yule mwanajeshi) MWANAJESHI, MWANAJESHI, TENA KAMANDA WEWE
 
Nahisi Sijaelewa

Hapa ni kwamba shoga analalamika katukaniwa kazi yake anayoifanya (ushoga) hivyo na yeye akaamua kumtukana mwanajeshi kwa kumtukania kazi yake ndo akamwambia "mwanajeshi, mwanajeshi, tena kamanda wewe" akiamini ni kumdhalilisha yule mwanajeshi hadharani kama yeye alivyomfanyia kwa kumuita shoga
 
sijaelewa hatamoja napita tu
 
safi sana, kasimu kangu kameharibu ningekugongea like
 
Back
Top Bottom