wapumzike kwa amani
ni kweli kabisa mkuu,kuua ni dhambi na ni kosa kubwa sana but kama utaua for your own defence kwa imani yangu ya ukristu hiyo siyo dhambi kabisa.ni kama vile ambavyo jambazi kakuvamia home we ukamuwahi na kitu cha ufoo saro...haina dhambi hiyo.
wapumzike kwa amani
Hyo iman yako ya kristo inayosema ukiua kwa kujilinda hakuna dhambi imeandikwa kitabu gani?weka mistari,km huna uache kuropoka,viroba na bang,hutakiw kujenga hoja kwa ktu usichokua na iman nacho.
takibirrrrrr
Sometimes you got to fight to be a man....Kenny Rogers.
Pole yao ila wanakera wanachapa hadi abiria mbaya zaidi wanakuwa na rungu dawa ya mbu wanawasha njiti then wanaspray kwa kutumia ile dawa kwenye magari wanayopishana nayo,waendesha bodaboda ndio balaa wanachomoa stend ya pikipiki ikiwa kwenye mwendo inakwaruza lami na kutoa cheche kubwa,kwa kweli jana vurugu sana