Mwanajeshi atoa kali ya mwaka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanajeshi atoa kali ya mwaka.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kibirizi, Jul 16, 2011.

 1. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Brigadia mmoja aliamua kuwapima wanajeshi waliokuwa chini yake ili kuweza kubaini ni wakakamavu kwa kiasi gani. Siku moja aliamua kuwatembeza wanajeshi hao kwa mwendo wa ukakamavu kwa umbali wa kilomita 30 bila kupumzika sehemu yeyote. Baada ya kilomita 30 aliamuru wanajeshi wote wasimame, wanajeshi walitii amri, baada ya hapo Brigadia alichora mstari mbele yao akawaambia kwamba ambaye hawezi kuendelea na safari asogee hatua mbili mbele kutoka pale alipochora mstari na ambaye ana uwezo wa kuendele na safari abaki pale pale. Wanajeshi wote walisonga mbele hatua mbili mbele, mmoja wa wale wanajeshi akabaki pale pale hakusogea mbele, Brigadia akamuulia je wewe ndio unaweza kuendelea mbele na safari akajibu mimi hata hizo hatua mbili mbele nimeshindwa kusogea kwa jinsi nilivyochoka. Wanajeshi wote ilibidi wacheke.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Huyo aliyeshindwa hata kwenda hatua mbili mbele lazima atakuwa Cap. John Komba
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  imetulia
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Thankx, you start my day.
   
 5. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mtunzi wa habari hii anamaana gani hapa?
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ni hatari kama umeazima mbavu..
   
 7. s

  shaonova New Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaburudisha sana
   
 8. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kitambi hichoooooooooooooooo!!
   
 9. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 686
  Trophy Points: 280
  dah nmefurah sana,thanx mkuu
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  ime2lia Mkuu
   
 11. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyo aliyeshindwa kupiga hata hizo hatua mbili ni 'mzenji'.
   
 12. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Anastahili Tuzo coz ndio ametii amri bila kudhamiria..
   
 13. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  na baada ya kushndwa kusogea mbele capt john komba ndo kikawa chanzo cha kutimuliwa jeshini, amin usiamini!
   
 14. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ni binamu yako ndo maana unautani nae!!!!
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mmmh!!
   
 16. Captain Phillip

  Captain Phillip JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Wajeda wa kibongo michosho hawana hata historia ya kupindua nchi!
   
Loading...