Mwanajeshi Arusha matatani kwa mauji ya Mkewe ,adaiwa kunyonga na kwenda kunywa bia

Kuishi na mwanamke kunahitaji moyo sana, kama unaweza ni bora usioe kabisa
Umenena vyema,kinyume cha hapo uwe karibu sana na Mungu na kumuomba akujalie hekima na busara ili uweze kuwa na ndoa yenye amani.LAKINI all in all, wanawake kama wanawake naona sio shida ,shida ni wengi wao kutokuwa karibu na Mungu kitendo kinachomruhusu shetani kuwatumia kuvuruga nyumba.Nimeshuhudia katika mikutano mingi ya maombezi wanawake ni wengi sana wanakutwa na mapepo,kuna wachache wanaojuwa kuwa wanayo ila wengi wanakuwa nayo bila ya kujijua na hayo ndio mavurugaji makubwa ya ndoa za watu...
 
Sema wanaume mtaulizwa maswali mengi sana na Mungu. Maana mwanaume ukifikia hii stage ya kuua mkeo maana ake umeshindwa kuwa mwalimu, mlinzi na kiongozi wa mkeo.
Hivi ni kwa nini mpaka mwanaume afikie hatua ya kumuua mkewe??Umeshawahi kujiuliza swali hili siku moja?? MTU akifikia hatua hii ujue siyo bure, lazima kuna namna au tatizo kubwa sehemu fulani.
 
Yaani yule wa gunia mbili za mkaa na huyu mwanajeshi wakiungana ..wanawake watawai kurudi kwa baba

Na bado watu wanawashangaa kwa nn wanawake wengi wako benchi hawana ndoa. Kuliko kuwahishwa kwenda kwa baba bora kujikalia mwenyewe. Wanaume hata sijui wamekuwaje siku hz aisee
 
Kweli kabisa kama una hasira za ngumi mkononi usioe kabisa. Kuna ile mmegombana halafu unatishia kumpiga, anakwambia"wee! Thubutu kunigusa kama ww ni mwanaume kweli" kauli za dharau km hz ndo mwenye hasira zake anashusha kipigo cha umbwa koko au kuua kabisa
Pole mkuu
 
Ni kwanini unadhani mdada alicheat? Hata ya gunia za mkaa ilikua hvyo hvyo kumbe mume ndo alikua anacheat baada ya kuulizwa ugomvi ukawa mkubwa akamuua mwenzie.
Uzoefu wangu unaniambia.mwanamke aliyeolewa akicheat mume huchukua maamuzi magumu sana anapogundua.
 
Siku shemeji yenu akiniambia hivyo, siku hiyo atakula rungu za joint na mgongo hatokuja akae aamini hata kama ni kuondoka sawa tu..

Ni rungu na mikanda kwa wingi, maana kwa kipigo nitakachompa na ndoa itakuwa haipo tena..
Maneno huumba. Nakushauri hata kama ikitokea basi kama umeamua kuachana naye basi achana naye kwa usalama. Unafikiri hawa wanaoua huwa wanakusudia kuua? Mara nyingi huwa wanadhani wanamwadhibu lakini wanakuta wameua.
 
Ndoa haina ubingwa hata kidogo, omba Mungu tu yasikukumbe Mapito ktk ndoa yako
Nakubaliana na wewe. Kuna majaribio mengine ni magumu mno mno na yanahitaji ujasiri ambao ni wengi hawana. Kwa mfano mwanaume anaweza kuwa kwenye hali mbaya sana kifedha na kiafya na kila anachoshika hakishikiki. Hapo hapo mke anaanza kuleta jeuri na dharau. Situation kama hii ikitokea kama siyo ujasiri mtu unaweza kufanya kitu kitakachoshangaza wengi
 
Kuishi na mwanamke kunahitaji moyo sana, kama unaweza ni bora usioe kabisa
najua wengi hawatakuelewa kwa hili mkuu, lakini ni kweli, YOU DONT MARRY COZ YOU LOVE SOMEONE , A VERY BIG NO, YOU MARRY COZ YOU HAVE UNDERSTANDING AS TO WHAT MARRIAGE IS ALL ABAUT, WISDOM
 
Sema wanaume mtaulizwa maswali mengi sana na Mungu. Maana mwanaume ukifikia hii stage ya kuua mkeo maana ake umeshindwa kuwa mwalimu, mlinzi na kiongozi wa mkeo.
but inabidi uangalie pia nini kimesababisha yote hayo,hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu
 
Nakubaliana na wewe. Kuna majaribio mengine ni magumu mno mno na yanahitaji ujasiri ambao ni wengi hawana. Kwa mfano mwanaume anaweza kuwa kwenye hali mbaya sana kifedha na kiafya na kila anachoshika hakishikiki. Hapo hapo mke anaanza kuleta jeuri na dharau. Situation kama hii ikitokea kama siyo ujasiri mtu unaweza kufanya kitu kitakachoshangaza wengi
Absolutely
 
Wanajeshi wamefundisha kuwa na weredi ya hali ya juu sana, inakuwaje anafanya mauaji hayo,, tusubiri uchunguzi.
 
Back
Top Bottom