Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
The biggest PROBLEM I have na huyu mama especially alipokuwa UK..ni hii kuendekeza U-CCM sana. Everything was about CCM. Thats why unaona kabisa watu wengi...(like minded..??) wanalose interests na hizi balozi. Maana wengine..we are simply tired of politics za nchi yetu through CCM. Wanataka kuona tunayatafuta maendeleo kwa udi na uvumba. Sasa hata kiongozi wa serikali akija..utakuta watu wamevaa sare za CCM! ..Damn!!
Kuna aliyesema kwamba mume wa balozi ndo alimponza mama kwa kudhania kwamba anawakilisha CCM baadala ya serikali yetu. Perhaps Membe aangalia namna ya kuwa-keep busy ma-spouse wa mabalozi! Itasaidia hawa jamaa kuwa na shughuli productive ....
Angalizo: Sipingi wanachama wa CCM kuwa na shughuli zao za kichama. Tatizo langu linakuja pale ambapo watendaji wa serikali wanajikuta wakiwa busy na shughuli za chama.
Otherwise, mama Maajar namtakia kila lakheri katika kituo chake kipya cha kazi.
nyie wote mlioongea kuhusu huyu mama na matawi ya chama nadhani mnamuonea au hamjui msimamo wake hasa..yeye yuko so explicit kuhusu itikadi na anaongea wazi yeye haungi mkono chama chochote ila katika kuendeleza utanzania anajikuta yupo katikati ya hayo makundi mnataka afanyeje?kuna tawi gani la chama limefunguliwa mkamkuta yeye ni mgeni rasmi?udhaifu wa itikadi zingine hauwezi kumfanya yeye asitishe kazi yake ya kuwatafuta watz popote walipo...Baniani mbaya kiatu chake kibaya?viongozi wa juu wanatembelea UK na bahati mbaya wanaiikadi atawafanyaje awaache waende peke yao?na akifika huko anatambulishwa kama nani kiongozi wa chama au Balozi?lazima tuyaone hayo mambo kwa mtizamo tofauti.mi nadhani tum-doubt kwamba ameweza kwa kiasi gani kuwaunganisha waTZ kama inavyoongelewa maana hata mimi nashangaa hizo sifa kama zina data yeyote ya kusupport?
Balozi wa tanzania nje ya nchi anaiwakilisha tanzania,kusimamia maslahi ya watanzania na nchi yake wakati huo huo akiimarisha uhusiano baada ya Tanzania na nchi mwenyeji.
Balozi wa Tanzania anaongoza Mission ya tanzanio huko aliko.
nyie wote mlioongea kuhusu huyu mama na matawi ya chama nadhani mnamuonea au hamjui msimamo wake hasa..yeye yuko so explicit kuhusu itikadi na anaongea wazi yeye haungi mkono chama chochote ila katika kuendeleza utanzania anajikuta yupo katikati ya hayo makundi mnataka afanyeje?kuna tawi gani la chama limefunguliwa mkamkuta yeye ni mgeni rasmi?udhaifu wa itikadi zingine hauwezi kumfanya yeye asitishe kazi yake ya kuwatafuta watz popote walipo...Baniani mbaya kiatu chake kibaya?viongozi wa juu wanatembelea UK na bahati mbaya wanaiikadi atawafanyaje awaache waende peke yao?na akifika huko anatambulishwa kama nani kiongozi wa chama au Balozi?lazima tuyaone hayo mambo kwa mtizamo tofauti.mi nadhani tum-doubt kwamba ameweza kwa kiasi gani kuwaunganisha waTZ kama inavyoongelewa maana hata mimi nashangaa hizo sifa kama zina data yeyote ya kusupport?
Hivi nini kazi ya balozi / ubalozi?
What if tusipokuwa na ubalozi?
Faida gani, zaidi ya kupunguza gharama, pale balozi mmoja wa EAC atakapoanza kutuwakilisha nchi zote hivi karibuni, kama ambavyo mikataba ya EAC inavyosema?
- Huyu mama amekuwa akitaka kurudi nyumbani kulifufua shirika lake la sheria kwa muda mrefu sana sasa, nijuavyo ni kwamba yuko matayarishoni kurudi nyumbani bongo kwenye shirika lake la sheria na wala sio siri among the tops, maana huwa hafichi akiwa na wakulu in private!
- Sefue is doing a great job kule haendi kokote ni dua la kuku tu!
Respect.
FMEs!
Naona dua la kuku limempata mwewe...πππ
- Ndio maana atabaki US, maana dua la kuku bado kumpata mwewe Bwa! ha! ha! ila good try though!
Es!
Huyo balozi kafanya nini zaidi ya kusimamia chama cha ccm nchini humo? kama ni balozi mjanja si angemshauri raisi wenu kuwa tunahitaji equal partnership kati ya marekani na tanzania ?au angeiomba serikali ya marekani ikishirikiana na ya tanzania kuanzisha viwanda mbalimbali ili tuweze kuzalisha na export nchini humo?na ili tuachane na fikra za ku export wanafunzi tukifikiri kuwa GDP yetu itaongezaka kwa kufanya hivyo.