Duhu, sitta kama mwanamme ahame ccm ahamie Chadema kupiga projo akibaki ccm tutaamini anachumia Tumbo tu.2015 akibaki ccm tutamuweka mjumbe wa nyumba 10 jimboni kwake[/QUOTE
Kwa mara ya kwanza malaria sugu naungana na wewe! Hako kazee ni kanafiki! Hakana jipya! Kila dowans dowans! Katafute single mpya!
Bado na hofu na baadhi ya watu humu, iwapo kweli wameielewa thread yangu(wengi wamejipotoa kwa kujadili picha badala ya kujadili hoja), sasa kwa vile sipendi kutawala mjadala huu peke yangu, napenda nitamke wazi kuwa KWA HESHIMA KUBWA NA TAADHIMA NAWAKARIBISHA GREAT THINKERS WACHAMBUZI WALIOTUKUKA WATULETEE KILE KINACHOITWA "THE DARK SIDE OF SAED KUBENEA"
Nilipojitokeza hadharani kwa mara ya kwanza kupinga vikali imani iliyokuwa inaenezwa mithili ya moto usaambaao kwenye nyasi kavu kuwa eti Saed Kubenea ni mpambanaji wa kweli. Nilijitokeza kwenye majukwaa kadhaa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi wenyewe kukanusha vikali imani hii ambayo niliamini kuwa ni upuuzi mtupu lakini pia nikaahidi kwa kusema "time will tell"
Ikiwa takribani ni miaka sita sasa ni dhahiri kabisa kuwa kile ambacho nilikibashiri sasa ndicho kinatokea na labda niseme wazi huu ni mwanzo tu kaeni mkao wa kula kwa maana kuna atakayekula kabisa matapishi yake. Wafatiliaji wa gazeti la Mwanahalisi hususani mwandishi Saed Kubenea sasa kwa kujua au kutojua naona wote kwa umoja wao wanaungana na mimi kuwa "bei yake " imefika na sasa amenunuliwa.
Kwa mantiki hii nimekusudia kusema "kweli" yote kuhusu Saed Kubenea, ukweli wenyewe ni huu kwa mchezo aliofanya jana kwenye kichwa cha habari cha nje hakuna ubishi kuwa amepata sifuri mtihani huo. Sababu za kuyasema haya ziko wazi kama ifuatavvyo;
1.Alichofanya Samwel Sitta kumtuhumu kwenye kipindi cha dakika 45 ilikuwa ni kama kuchokoza nyuki
2.Baada ya kutuhumiwa Kubenea akaanza mashambulizi na matusi kedekede dhidi ya Sitta
3.Kwa vile Mungu alishapanga kumuumbua akajikuta mara moja amefanya mchezo wa kitoto kwa kutaka kuuaminisha umma wa Tanzania kuwa hajanunuliwa eti kwa kuibuka na kichwa kikubwa cha habari "Mzimu wa Ricmond wamwandama Lowassa" katika toleo la jana huku akimpachika Jacob Daffi jukumu la kuiandika taarifa hiyo.
MY TAKE;
Kwa vile yeye (Kubenea)amejiumbua mwenyewe tena kwa mbinu rahisi za kujifanya bado yuko ngangari dhidi ya Lowassa, sasa na tuseme enough is enough kwani sasa imetosha, atuache tujitafutie habari wenyewe kuliko kupika habari hizo kwenye vyumba vya "mafisadi" kisha kutaka kutunywesha, sisi kama watu huru na wazalendo tunasema, kwa hili kubenea umepata zero na tunaweka "BIG NO!
Hoja yako hapo ni nini? we vipi bhana? we ni sokwe au kima, ukipata ntajua unajua! na hiyo avatar yako mmh!Mbona Obama alipeana mkono na yule Rais wa Venezuela anaitwa nani vile............Chavez, na kisha akapokea kitabu toka kwa Chavez wakati huo wamarekani wakiwa wanamchukia Chavez? Kama mtu anakosa unamwambia ukweli hapo na si kumkimbia. Sina undani wa mahusiano ya Kubenea na Lowassa but as mwandishi lazima asikilize pande zote husika.
mkuu hata mimi nakuunga mkono huu ni ujinga kwani ni dhambi kumsalimia lowassaSijawahi kuona thread ya kipumbavu na ya kijinga kama hii. Kuamkiana na Lowassa katika picha ambayo undated ndiyo kanunuliwa? Mtu ukiamkiana na mtu mwingine umenunuliwa? SHIIITTTT!
Mbona Obama alipeana mkono na yule Rais wa Venezuela anaitwa nani vile............Chavez, na kisha akapokea kitabu toka kwa Chavez wakati huo wamarekani wakiwa wanamchukia Chavez? Kama mtu anakosa unamwambia ukweli hapo na si kumkimbia. Sina undani wa mahusiano ya Kubenea na Lowassa but as mwandishi lazima asikilize pande zote husika.
Unakumbuka Baada ya CCM kutangaza kujivua Gamba na Nape kutembelea Media House zote za Tanzania? Matokeo ya Visiting ile ni
A. Magazeti yafuatayo yalikataa kuimba Wimbo wa kujivua Gamba na sasa yamekua ni Maadui wa CCM-Sitta
1. Mwanahalisi
2. Mwananchi
3. Tanzania Daima
B. Magazeti yafuatayo yaliamua Kucheza Ngoma ya Kujivua Gamba ya akina nape
1. Raia Mwema ( Siku hizi nimeacha kulinunua)
2. Uhuru
3. Nipashe
Kwa Hiyo Kundi A limekuwa ni Adui mkubwa wa CCM-Sitta
Si hilo tu, hata Baba wa Taifa alipeana mkono na Nduli Idi Amin - tendo hilo pekee halikumzuia kutwangwa Idi Amin hadi kuikimbia Uganda. El ni fisadi lakini Sitta ni fisadi mnafiki, hiyo ndiyo tofauti kubwa kati yao. Hakuna mtu hatari kama fisadi mnafiki. Wangapi wanakumbuka jinsi Sitta alivyotaka kusitisha mjadala wa Richmond ndani ya Bunge hadi arejee kutoka Ughaibuni na iliposhindikana, akavunja safari yake. Huyo ndiye Sitta anayekubali kutumiwa kama toilet paper kuisafisha serikali inapobanwa, Big Up Kubenea !