SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,446
Swadakta, kama unavyokuwa na line ya zantel vile!!
Nilipojitokeza hadharani kwa mara ya kwanza kupinga vikali imani iliyokuwa inaenezwa mithili ya moto usaambaao kwenye nyasi kavu kuwa eti Saed Kubenea ni mpambanaji wa kweli. Nilijitokeza kwenye majukwaa kadhaa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi wenyewe kukanusha vikali imani hii ambayo niliamini kuwa ni upuuzi mtupu lakini pia nikaahidi kwa kusema "time will tell"
Ikiwa takribani ni miaka sita sasa ni dhahiri kabisa kuwa kile ambacho nilikibashiri sasa ndicho kinatokea na labda niseme wazi huu ni mwanzo tu kaeni mkao wa kula kwa maana kuna atakayekula kabisa matapishi yake. Wafatiliaji wa gazeti la Mwanahalisi hususani mwandishi Saed Kubenea sasa kwa kujua au kutojua naona wote kwa umoja wao wanaungana na mimi kuwa "bei yake " imefika na sasa amenunuliwa.
Kwa mantiki hii nimekusudia kusema "kweli" yote kuhusu Saed Kubenea, ukweli wenyewe ni huu kwa mchezo aliofanya jana kwenye kichwa cha habari cha nje hakuna ubishi kuwa amepata sifuri mtihani huo. Sababu za kuyasema haya ziko wazi kama ifuatavvyo;
1.Alichofanya Samwel Sitta kumtuhumu kwenye kipindi cha dakika 45 ilikuwa ni kama kuchokoza nyuki
2.Baada ya kutuhumiwa Kubenea akaanza mashambulizi na matusi kedekede dhidi ya Sitta
3.Kwa vile Mungu alishapanga kumuumbua akajikuta mara moja amefanya mchezo wa kitoto kwa kutaka kuuaminisha umma wa Tanzania kuwa hajanunuliwa eti kwa kuibuka na kichwa kikubwa cha habari "Mzimu wa Ricmond wamwandama Lowassa" katika toleo la jana huku akimpachika Jacob Daffi jukumu la kuiandika taarifa hiyo.
MY TAKE;
Kwa vile yeye (Kubenea)amejiumbua mwenyewe tena kwa mbinu rahisi za kujifanya bado yuko ngangari dhidi ya Lowassa, sasa na tuseme enough is enough kwani sasa imetosha, atuache tujitafutie habari wenyewe kuliko kupika habari hizo kwenye vyumba vya "mafisadi" kisha kutaka kutunywesha, sisi kama watu huru na wazalendo tunasema, kwa hili kubenea umepata zero na tunaweka "BIG NO!

Wiki iliyopita kuna mtoa hoja aliandika MWANAHALISI IS A BIG SHIT na si watu wengi walimwelewa vingine na kumtukana mtoa mada huyo.

Tangu lini ukweli unadidimizwa na umri.

.........hoja yako, naam, hoja yako ni nzuri ila dhaifu, dhaifu mno.....picha uliyotumia kutuaminisha haiwezi kuwa kigezo kinachojitosheleza hata kidogo, dunia ni moja ya mafisadi makubwa (nyangumi), madogo (mapapa) na yanayojifanya sio mafisadi (ngisi na changu), tunakula pamoja, tunakaa pamoja, tunaimba pamoja ule wimbo "magamba!magamba!" ndio maana tunapata hata fursa ya kunyweshana sumu, kuzodoana, kung'ong'ana, kubezana, kusutana, kusimangana, kuhedemsedeana na hata kumwagiana tindikali; Dunia ni moja hatutaacha kuacha kukutana; hayo matusi nayo mmmh! (penye red), Sitta kunyea kambi? mm nasema zero nayo ni alama, akazane, atapata mia, ni suala la wakati
Nilipojitokeza hadharani kwa mara ya kwanza kupinga vikali imani iliyokuwa inaenezwa mithili ya moto usaambaao kwenye nyasi kavu kuwa eti Saed Kubenea ni mpambanaji wa kweli. Nilijitokeza kwenye majukwaa kadhaa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi wenyewe kukanusha vikali imani hii ambayo niliamini kuwa ni upuuzi mtupu lakini pia nikaahidi kwa kusema "time will tell"
Ikiwa takribani ni miaka sita sasa ni dhahiri kabisa kuwa kile ambacho nilikibashiri sasa ndicho kinatokea na labda niseme wazi huu ni mwanzo tu kaeni mkao wa kula kwa maana kuna atakayekula kabisa matapishi yake. Wafatiliaji wa gazeti la Mwanahalisi hususani mwandishi Saed Kubenea sasa kwa kujua au kutojua naona wote kwa umoja wao wanaungana na mimi kuwa "bei yake " imefika na sasa amenunuliwa.
Kwa mantiki hii nimekusudia kusema "kweli" yote kuhusu Saed Kubenea, ukweli wenyewe ni huu kwa mchezo aliofanya jana kwenye kichwa cha habari cha nje hakuna ubishi kuwa amepata sifuri mtihani huo. Sababu za kuyasema haya ziko wazi kama ifuatavvyo;
1.Alichofanya Samwel Sitta kumtuhumu kwenye kipindi cha dakika 45 ilikuwa ni kama kuchokoza nyuki
2.Baada ya kutuhumiwa Kubenea akaanza mashambulizi na matusi kedekede dhidi ya Sitta
3.Kwa vile Mungu alishapanga kumuumbua akajikuta mara moja amefanya mchezo wa kitoto kwa kutaka kuuaminisha umma wa Tanzania kuwa hajanunuliwa eti kwa kuibuka na kichwa kikubwa cha habari "Mzimu wa Ricmond wamwandama Lowassa" katika toleo la jana huku akimpachika Jacob Daffi jukumu la kuiandika taarifa hiyo.
MY TAKE;
Kwa vile yeye (Kubenea)amejiumbua mwenyewe tena kwa mbinu rahisi za kujifanya bado yuko ngangari dhidi ya Lowassa, sasa na tuseme enough is enough kwani sasa imetosha, atuache tujitafutie habari wenyewe kuliko kupika habari hizo kwenye vyumba vya "mafisadi" kisha kutaka kutunywesha, sisi kama watu huru na wazalendo tunasema, kwa hili kubenea umepata zero na tunaweka "BIG NO!
Unahangaika Sana Mkubwa Ulitaka kubenea Amsifie Sitta ndio uone Anapambana na Ufisadi. Kubenea Anatwanga kotekote
(........penye red), wenye akili zao wameona mkakati wao na Membe, Membe yule nyoka wa mdimuMkuu hiki ni Chanzo cha Magamba Kumshambulia Kubenea
Unakumbuka Baada ya CCM kutangaza kujivua Gamba na Nape kutembelea Media House zote za Tanzania? Matokeo ya Visiting ile ni
A. Magazeti yafuatayo yalikataa kuimba Wimbo wa kujivua Gamba na sasa yamekua ni Maadui wa CCM-Sitta
1. Mwanahalisi
2. Mwananchi
3. Tanzania Daima
B. Magazeti yafuatayo yaliamua Kucheza Ngoma ya Kujivua Gamba ya akina nape
1. Raia Mwema ( Siku hizi nimeacha kulinunua)
2. Uhuru
3. Nipashe
Kwa Hiyo Kundi A limekuwa ni Adui mkubwa wa CCM-Sitta
........uliona wapi ngoma upige wewe ucheze weye, picha inatoa taswira halisi, ndio maana unakutana na akina KINGO, BI-MKORA bila maandishi, kama kuchemsha umechemsha weye sio sisi..... Sitta ni mzee wetu lakini ni mnafiki, tazama leo hii haaminiki popote, CCM na au upinzani, meza huu ukweli hata kama ni mchungu utakufanya huru, tena huru kweli kweli.Bado na hofu na baadhi ya watu humu, iwapo kweli wameielewa thread yangu(wengi wamejipotoa kwa kujadili picha badala ya kujadili hoja), sasa kwa vile sipendi kutawala mjadala huu peke yangu, napenda nitamke wazi kuwa KWA HESHIMA KUBWA NA TAADHIMA NAWAKARIBISHA GREAT THINKERS WACHAMBUZI WALIOTUKUKA WATULETEE KILE KINACHOITWA "THE DARK SIDE OF SAED KUBENEA"
Wataalam nawasubiri hapa...