Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,673
- 149,860
Wakati Rais Magufuli akituambia watanzania kuwa Katibu Mkuu wa CCM,bwana Kinana yuko nchini India kwa matibabu,gazeti la Mwanahalisi limedokeza katika habari yake kuu inayomuhusu Nape kuwa Kinana kurejea wiki hii kutoka Canada na kwamva anajipanga kumsulubu Makonda.
Sasa hapa mkweli ni nani?
Huyu Kinana hakutumwa India kwa matibabu?
Sasa hapa mkweli ni nani?
Huyu Kinana hakutumwa India kwa matibabu?